Is it true that all Chinese products are fake? Click here to find out...!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it true that all Chinese products are fake? Click here to find out...!!!

Discussion in 'International Forum' started by Michael Amon, Jul 17, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  For couple of years i have been doing a research to find if it is true that all Chinese products are fake and why they are producing them. At first I used to believe that china is the leading company of producing fake products but baada ya kufanya utafiti juu ya hili nimegundua kuwa what i was thinking was wrong.

  Baada ya kufanya utafiti huu nimegundua kuwa China is the leading country in producing quality electronic products in the world baada kugundua kuwa makampuni yote ambayo yanaaminika kwa kuongoza kutengeneza bidhaa za electronics ikiwemo Samsung, Acer, Dell, HP na mengine ambayo sijayataja bidhaa zao zote huwa zinatengenezwa China. If you dont believe me chukua kifaa chako chochote cha electronic cha moja wapo ya haya makampuni ambayo nimeyataja hapo na uangalie wapi kilipotengenezwa na utagundua kuwa kifaa hicho kimeandikwa kuwa kimetengezwa China. Lakini ukiangalia kwa upande wa pili au ukitembelea katika tovuti za hayo makampuni utagundua kuwa makampuni hayo are not located in China. Then why these products are made in china while those companies aren't located in China? (Good question and we are going to get its answer today)

  Swali hilo ndilo lililonifungua macho na kunfanya niweze kutafuta zaidi ili kuweza kubaini ni kwa nini bidhaa za makampuni hayo zinatengenezwa China badala ya kutengenezwa katika nchi ambazo hayo makampuni yapo. Siku moja katika shughuli zangu za kila kila siku huku nikiwa natumia tablet PC yangu aina ya HP Touchpad kama inavyoonekana hapo chini...

  [​IMG]

  ghafla lilinijia wazo la kuipekua tablet hiyo ili kubaini Tablet hiyo imetemngenezwa wapi na kwa bahati nilipata details ambazo zilionyesha kuwa Tablet PC it was designed by HP in California and it was made in China but they didnt mention ni kampuni gani ya huko china ambayo imtengeneza Tablet PC hiyo. Why they didnt mention that company? I dont know either

  Baada ya kuona hayo sikuishia hapo niliamua kuchukua Tablet PC yangu nyingine aina ya Acer na kuikagua na nikapata details kuwa Tablet PC hiyo was made in China.

  Then again nikakimbia kwenye my PC aina ya Dell na kuikagua and i Found out it was also made in China? Then the question came into my mind "Why are these products produced in china while these companies arent located in China?" The answer to that question is on HP Touchpad.
  Ukisoma hayo maelezo hapo juu kwa makini utagundua kuwa China is good producing electronics stuffs but it isnt good in designing them. So haya makampuni kama Acer, HP, Dell etc wao kazi yao ni kudesign bidhaa lakini kwa kuwa wao sio wataalam sana wa mambo ya electronics wao huwapelekea designs zao makampuni ya China kwa kuingia nao mkataba ili waweze kuwatengezea bidhaa zao...Baada ya bidhaa kukamilika finishing hufanywa na hayo makampuni ikiwemo kuingiza software n.k

  K
  utokana na maelezo yangu hapo juu mtagundua kuwa not all Chinese products are fake...sasa katika kujibu hili swali najua kuna swali jingine ambalo utajiuliza...If chinese is the leading country in producing electronics stuff then why inatengeneza fake electronics products like cellphones, TV's, Radio's etc? Thats a good question na ndio swali la msingi ambalo ningependa tulijadili hapa.

  Copyright
  © Young_Master, 2012. All rights reserved.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu Young_Master Pamoja na yote uliyoyasema Wazungu ni Watu wajanja sana wameamuwa Makampuni yao wayapeleke china kutokana na Urahisi wa ulipaji na Gharama za Uuzwaji wa hivyo vifaa vya eletronics kwani Hao Wazungu wameamuwa

  watengeneze wao wenyewe nani ataweza kununuwa hivyo vifaa vyao vya Eletronics? Vitakuwa Bei ni kubwa kwa mfano hebu wewe angalia Vifaa vya Apple ni kutoka Amerika na wameamuwa watengeneze wao wenyewe Computer zao pamoja Laptop zao si unajuwa Laptop ya Apple Macintosh Bei yake? [​IMG]
  [​IMG]Stunning Retina display. All-flash architecture. Incredibly thin and light design.
  It's a whole new vision for the notebook.
  From $2,199.00 Dollar
  Buy now  • [*=center][​IMG]Stunning Retina display.

   With 5.1 million pixels packed into one screen, images take on a new level of realism. Colors are rich and vibrant. And everything is visible down to the finest detail. It's the world's highest-resolution notebook display.

   [*=center][​IMG]All-flash architecture.

   The all-new MacBook Pro is built entirely around flash storage, which gives you up to four times the performance of a traditional hard drive. So everything you do feels incredibly fast, fluid and responsive.

   [*=center][​IMG]Thin. Light. Powerful.

   At just 0.71 inches thin and 4.46 pounds, it's also incredibly powerful. With the latest Intel Core i7 processors and discrete NVIDIA graphics, the all-new MacBook Pro was designed with performance in mind.

  sasa hiyo Laptop ya Macintosh Mac Book Pro Fananisha na hizi hapa 4 Laptop zenu za DEL,HP,ASUS,naToshiba zinazo tengenezwa huko Uchina?Utakuta hizo Laptop zote haziwezi kushindana na Laptop moja tu ya Apple Macintosh uimara wake. China wanatengeneza Vitu vya Feki na Orignal ita depend mfuko wako mwenyewe ulivyo , vifaa hivyo vya Eletronics Wanavyoleta Afrika hawa Wachina ni Vifaa vya Gredi 3 tofauti ya vifaa hivyo vya Eletronics wanavyoleta huku Ulaya hao Wachina ni vifaa vya Gredi 1 Bei yake tofauti kabisa Laptop inayotoka china ikaja huko Africa na Laptop ya inayotoka China kuja ulaya. Kwa hiyo Wazungu wamefanya china ni Sehemu ya kwao kwa ajili ya
  cheap labor wafanyakazi wanaoilipwa mishahara ya chini ni hivyo mkuu..
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Safi sana mkuu Mzizi Mkavu, umemjibu vizuri sana Young Master. Sio vifaa vya electronic tu hata nguo na viatu makampuni mengi ya Ulaya na America kama Nike n.k. yana viwanda China sababu ya "cheap labour costs" ukilinganisha Ulaya na America

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Pamoja na hayo mkuu MziziMkavu ambayo umeeleza hapo juu ambayo nakubaliana nayo kwa namna moja au nyingine...lakini bidhaa hizi ambazo nimezitaja hapo juu sikuzinunua huku Bongo nimeagiza direct from U.S.A from my friend ambaye yupo huko U.S.A...kama ningelikuwa nimevinunua hapa bongo basi ninmgeweza kukubaliana na hayo maelezo yako.

  Tukija kwenye hii kampuni ya apple...ingawa siajwahi kumiliki bidhaa yoyote ya apple but siamini kama bidhaa za apple vifaa vyake vyote vimeundwa na apple. In my opinion I think it is the design that makes apple's products unique. The reason why apple's products are very expensive ni kwa sababu wao hawatenenezi bidhaa zao china bali wao wananunu vifaa vinavyohitajika ili kuunda bidhaa zao na wanaunda wenyewe na iliwaweze kupata faida na kurudisha cost za kuunda bidhaa hizo lazima wauze bidhaa hizo kwa bei expensive.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wazungu ni watu wajanja katika huu Ulimwengu kwa kutafuta pesa kwa njia moja au nyingine wamewapa Contract Wa China kwa faida zao kwanini wasilete huko kwetu Africa teknowledge yao? kwa sababu hawataki hao Wazungu Watu weusi waendelee kimaendeleo.

  Ndio maana wameamuwa Wamarekani kupeleka teknowledge yao china na South korea na Asia yote kwa ujumla . Kwa sababu wanachotaka Wazungu Bara la africa kwao wao ni kama ni zoo la Wanyama waje kututembelea na kuangalia wanyama na watu

  Weusi wakoje na wanaishi kivipi? Wazungu hawapendi watu weusi wawe na maendeleo yoyote yale ndio maana Mzee Qadafi aliona mbali akataka kuanzisha United State of Africa Wazungu ndipo walipomuuwa haraka walimuona Qadaffi ameamka na alikuwa anawaambia ukweli wa mambo ni hivyo tu mkuu.@Limbani
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mkuu Limban and MziziMkavu nadhani hujasoma vizuri maelezo yangu hapo juu. Katika bidhaa moja wapo ambayo nimeikagua ili kubaini wapi ilipotengenezwa wameeleza moja kwa moja kuwa bidhaa hiyo it was designed by HP in California U.S.A but it was Made in China lakini hawakueleza kama imetengenezwa HP company iliyopo china au la lakini wameeleza kuwa it was designed by HP company in California U.S.A which means kuna kampuni huko China ambalo si la HP ambalo limewatengenezea hii Tablet PC. So how comes unaniambia kuwa makampuni mengi ya ulaya wanapeleka viwanda vyao China? Kama ingekuwa ni kweli basi kwenye hii Tablet wangetaja kuwa it was made by HP in china kama walivyotaja kuwa it was designed by HP in California, U.S.A.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Ninarudia Tena Bidhaa yoyote ile Wachina wakiitengeneza huwa wanatengeza model 2 ya kwanza ni kwa ajili ya Amerika na Ulaya na model ya pili ni kwa ajili ya asia na Afrika . Model ya

  Ulaya na Amerika inakuwa ni imara zaidi ya Afrika na asia mkuu jaribu kunielewa na bei ni Tofauti. kwa mfano mimi ninayo Laptop ya Casper Nirvana aliyotengeneza Mchina bie yake hapa nilipo nimenunuwa Dola 1200.
  [​IMG]
  Mchina huyu Lakini Mchina huyu ni Origanal sasa hiyo hiyo Casper Nirvana Mchina akileta huko Afrika bei yake haiwezi kufika

  hiyo ya Dollar 1200 itakuwa chini ya hapo na itakuwa ni Feki sio Orignal. Mkuu usifananishe Kifaa cha Mchina kilichotoka

  Amerika na ulaya na kifaa hicho hicho cha Mchina kinacho toka Dubai kuwa ni sawasawa Mkuu? Upo pamoja na mimi lakini Young_Master?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mzizimkavu, mimi napingana na wewe kwamba WAZUNGU HAWAPNDI KUWEKEZA AFRICA, Kuna factor nyingi sana za kwa nini hawawekezi Africa na moja ya hizo sababu ni

  1. Usalama- Africa kila kukicha ni vita

  2. Miundombinu ya barabara na reli na viwanja vya ndege

  3. Purchesingi power ya waafrica iko chini sana

  4. Rushwa

  Na kazalika

  - Mkuu hebu imegine mfano kampuni ya ya TOSHIBA ilete kiwanda Tanzania cha kuunganisha komputa zao, Umeme ni ishu, miundombinu ni ishu, so hawawei kupoteza pesa kuwekeza mahali pasipo lipa,

  MAKAMPUNI MENGI YA ULAYA NA MAREKANI KWA SASA YANAWEKEZA KWENYE MATAIFA KAMA

  1. CHINA

  2. INDIA

  3. BRAZILI

  4. RUSSIA

  5. KOREA KUSINI

  6. INDONESIA

  7. MEXCO

  8. SAUDIA

  9. TAIWAN

  10. MALASIA

  Kwa Africa wanawekeza South Africa

  Hayo mataifa ndo kwa sasa UCHUMI WAO UNAKUWA KWA KASI YA KUTISHA, Mataifa ya Ulaya uchumi wao Umestack, ndo maana makampuni mengi yanajielekeza kwenye hizo Nchi na ndo zinaunda G20, Ni juzi tu BRAZILI imeupiku Uingereza kwa GDP,

  Na kwa Ulaya imebakia only UJERUMANI NA UFARANSA NDO ZINAJITUTUMUA, ila na zenyewe zitapitwa muda si mwingi

  - Hayo mataifa niliyo yaorozesha ukitoa SOUTH AFRICA NA SAUDIA vilevile wanafevwa na Pupulation ya Nchi zao,

  China inapata wawekezaji wengi kwa sababu ya Pupulation yao, makampuni mengi yana tambua yakiwekeza china hata yasipo uza nje bado yatatoka sana, na hata hizo product tunazo ona ni feki nyingi zainatengenezwa china na makampuni ya WAZUNGU NA WAJAPANI
   
 9. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Mkuu hata simu za apple original, zinakuwa design in america na zinakuwa assemble China, nimeziona zipo nyingi tu na ndio simu zinazoongoza kwa kupendwa na wachina kuliko brand nyingine, siku apple wakizindua uuzaji wa simu mpya watu hukesha kwenye sales stores kusubiria
   
 10. chash

  chash JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Sahihi. All products made in china for african market are 100 % fake. They make good stuff under license for their American and European masters because they are bound by strict contract. The only thing chinese do for africa is dumping. Thats why china gives Africa a lot of cash to buy more of their fake goods. It's all because african govts are not bothered to give china tough conditions to protect the money of their citizens.
   
 11. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wakuu bidhaa za china zinaleta sana utata kuzielewa na zinasumbua sana watu wasiozielewa hasa non chinese.
  Naungana na mdau hapo juu kwamba sio kweli kwamba bidhaa zote zinazotengezwa china ni feki.Na sio kweli kwamba China wanatengeneza bidhaa specific kwa sehemu fulani ya dunia based on unequal qualities. The truth ni kwamba China kuna bidhaa za aina tatu au nne hivi ambazo inabidi kuzifahamu vizuri kama ifuatavyo:

  1) HangHuo(Nationwide warranty/licensed products): Aina hii ya bidhaa ni quality guaranteed. Ni original product. Warranty yake ni atleast 1 year nationwide,kama ni electronics inaweza kupata after sales service including hardware replacements popote pale ndani ya china. Hiyo inafanya iwe na ubora wa juu kabisa kwa sababu katika hali ya kawaida manufactures hawawezi ku-afford regular after services and parts replacement.It's the most expensive type of the product in the chinese market.Guaranteed quality.The seller can issue formal invoice with tax included(FAPIO)

  2)GangHuo(Hong Kong Made products): Hizi hapa zinakuja second best.zina nationwide warranty vilevile lakini hazina warranty terms nzuri kama Hanghuo.Kama Hakuna HangHuo unaweza kununua Ganghuo,ni original na quality guranteed too.The seller can issue formal invoice with tax included(FAPIO)

  3)ShuiHuo(Parallel Imports): Hizi hapa ni non-counterfeits imported from other countries but quality can not be guaranteed, although zingine huwa zinakuwa nzuri tu.Lakini hazina warranty ya kueleweka, the seller can not issue formal invoice(FAPIAO)because they are not locally licensed.Hizi huwa zinaingizwa tu kupanua uhuru wa ununuzi,kuwa kama unanunua kwa mfano samsung galaxy sII made in Korea au Japan cheaper than the one which is locally made because it is licensed hence more expensive, why don't you buy unlicensed one imported from another country but of cheaper price.As long as you can bare the risk. Na hii ndio wauzaji wengi sana wanawauzia watu wasiojua hizi tofauti kwa vile hawana haja ya kulipa tax.Coz in order to be able to issue FAPIAO You must be a registered company, some of the selling points are mere businesses not companies, unable to issue FAPIAO therefore can only sell parallel imports or the next category.

  4)JiaHuo(Counterfeits): Hizi ni feki au kopi za original. Quality 100% not guaranted, no warranty no Formal invoice(FAPIAO)Hizi ni rahisi kuzigundua coz zina tofauti kubwa sana na Hizo hapo juu, although kuna zingine ni almost 1:1 copy ni vigumu sana kutambua.

  Kwa kuhitimisha hapo juu, watu wengi wanafall katika category ya 3 na ya 4 kwa vile hawajuhi, ila ukitaka original product inabidi uchague ya kwanza au ya 2. Ya tatu ni at your own risk, imported and quality not guaranteed. Ya 4 ni kwa watu wanaopenda kununua cheap, they always end up with the fake products because in China the quality is directly proportional to cost.Ukitaka kununua original, Nunua HangHuo au Ganghuo kama nilivyo oanisha hapo juu.

  Mwisho, Almost all major electronics manufactures have manufacturing plants in China including APPLE.Chinese buy almost 100% made in China products, the only difference in quality is which category of product you choose based on my analysis above. I hope this can help wadau!!...RESPECT!
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Ndicho hicho nilichokuwa najaribu kumuelezea MziziMkavu sema kwa kuwa sijawahi kumiliki bidhaa za Apple nimeshindwa kubishana naye.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...