Chomsky Member Joined Jul 15, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Jan 20, 2013 #1 Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!
Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali!
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,915 Reaction score 2,142 Jan 20, 2013 #2 Chomsky said: Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali! Click to expand... hiyo si kazi yetu nenda shule uliza vitu vya maana na si hivyo
Chomsky said: Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali! Click to expand... hiyo si kazi yetu nenda shule uliza vitu vya maana na si hivyo
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,209 Jan 20, 2013 #3 hili jukwaa nalo sasa siyo la greater thinkers tena.
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Jan 20, 2013 #4 Unadhalilisha hiyo ID
Chomsky Member Joined Jul 15, 2012 Posts 31 Reaction score 5 Jan 20, 2013 Thread starter #5 mwanakungumbala said: hiyo si kazi yetu nenda shule uliza vitu vya maana na si hivyo Click to expand... Kama hujui sema SIJUI. Kama si kazi yako ni kazi ya nani sasa? Vitu vya maana ni kama vipi mbona husomeki? Au mi kuuliza humu ndiyo tatizo? Tafakari tena mkuu.
mwanakungumbala said: hiyo si kazi yetu nenda shule uliza vitu vya maana na si hivyo Click to expand... Kama hujui sema SIJUI. Kama si kazi yako ni kazi ya nani sasa? Vitu vya maana ni kama vipi mbona husomeki? Au mi kuuliza humu ndiyo tatizo? Tafakari tena mkuu.
K Kifyatu JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,382 Reaction score 3,224 Jan 21, 2013 #6 Chomsky said: Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali! Click to expand... Dad, how many older siblings do I have?
Chomsky said: Kama unataka kumuuliza mzazi wako swali lifuatalo: "Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?", Utasemaje kwa Kiingereza? Msaada tafadhali! Click to expand... Dad, how many older siblings do I have?
iFreak_os Member Joined Jan 15, 2013 Posts 47 Reaction score 4 Jan 21, 2013 #7 Sidhani kama waingereza wana maswali kama hayo... Wanajulishwa na wazazi wao kabla hawajauliza