Is it possible?

Can your first love be your husband/wife kwa karne hiiiii?????
Inawezekana kama mnapendana na kuaminiana na pia kama kukutana kwenu kwa mara ya kwanza hakukuwa ni kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya mwili pekee yake!!!

Upendo na mtazamo wa uhusiano baina yenu wawili unahusika sana kwa kiasi kikubwa kwa first love wako kuwa husband/wife! Ni lazima muwe mnafikiria uhusiano wenu kwa mtazamo mmoja ...

HP
 
Hakuna lisilowezekana kwa hii dunia ya leo..
Kuwa na imani tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom