Is it possible?

Uparo

Member
May 4, 2012
55
9
Wakuu naimani mu wazima. K wa mara ya kwanza najitokeza huku kwenye MMU ningependa kujua hivi inawezekana kwa mwanaume au mwanamke kuandika sifa za mchumba anaye mtaka na kumpata kupitia safu hii? Naomba kuwasilisha
 
Amtoe wapi? kama anataka photocopy amzae mwenywe
Unapo sema kile unacho kitafuta, ni sawa na kujitangaza
maana kwa kusoma vigezo watu wanaweka love connect
member anaweza kuhisi mwandishi ni mtu wa aina gani vile.
Bora useme kile ambachi hukitaki, kuliko kile unacho kitaka
 
Hata katika mazingira ya kawaida ni ngumu sana kupata mtu mwenye sifa zote unazozitaka! Kila binadamu ana mapungufu utapata anayekaribiana na hizo sifa but not exactly as you want...anyway jaribu bahati yako..
 
Wakuu asanteni kwa maoni yenu wote nimepata jibu it is impossible coz asilimia kubwa wamesema hivyo
 
Back
Top Bottom