yaani watu wanawaona ex's wao kama wanyama utadhani wao sio ma-ex wa watu kadhaa.
Yaani mie list(marcopolo 3) yangu yote ya ma- ex's are good people, kushindwana kimapenzi hakumaanishi wamekuwa watu wabaya mno.
Du! me nikajua wanajaa hiace....kumbe marcopolo tatu.............!!!!!!!!aisee Kongosho nataka uwe role model wangu kumbe mimi bado........vile vibinti vinavyonitizama vizuri vitapata habari yao kesho
hiyo ni ngumu mkuu nilijaribu nikashindwa infact let me tell u a story niliachana na girl wangu bahati nzuri yy akapata mwingine in short time na mm sikufanikiwa basi ikawa inaniuma sana maana nikiwakuta pamoja nilikuwa na machungu tu..hivyo usijaribu mkuu...Habari zenu waungwana... nauliza inawezekana kumfanya aliekua mpenzi wako kuwa rafiki yako wa karibu wa kumuomba ushauri katika mambo mbalimbali ikiwamo masuala ya mapenzi? tiririkeni tu mi nawapenda sana..
he he he he X bana, ngoja ni-mute tu hapa ila kwa kifupi inawezekana kabisa na anakuwa mshauri mzuri na asiye na hila.