Is it possible,samsung galaxy Note 4 for 500,000

Is it possible,samsung galaxy Note 4 for 500,000

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
221
Wakuu habari, naomba kujua hivi samsung galaxy note 4 kwa 500,000 inawezekana? Nimemkuta mkenya kwenye kupatana anauza hiyo bei.nataka kununua je ni kweli au utapeli.
 
hiyo ni copy nkuu...toka nduki haraka sana....
 
Usikurupuke tafuta mtu anaeijua ya kweli aicheki
 
Nimekuwa na mashaka bt nikasema ngoja niwaulize wana jamvi kwanza.Yani natuma hera then yeye anatuma mzigo kwa fedex international
 
hahaha baba utachapwaaa hujaaionaa tena online?hata hyo copy yenyewe hakutumii.....ingia kene website ya samsung uone wanavyouza
 
Sio kweli...Samsung note 4 nimenunua dubai kwenye mtaa wa maduka ya jumla pale Deira kwa usd 480..huyo atakua kanunua wapii auze bei hiyo ambayo ni kama usd 250
 
Wizi huooo.. Achana naye. Hats Kama ni note4 kweli itakuwa ni faulty balaa
 
Back
Top Bottom