Usijali BAGAH, mie sio mwelewa sana na I stand to be corrected! I believe you know heshima huwa inakujaje mpaka mtu anafikia hatua ya sio tu kuheshimika bali hata kumaintain heshima alonayo.......for yaweza potea at the time being! Samahani kama kuna mahali nimeteleza na kuzi-undermind fikra za wenzangu! Sorry to BADILI TABIA ambaye ndie niliyekuwa nimemquote na kwa wengine wote!!
BAGAH ! Kama mjengoni sijui nikufananishe na Zitto Zuberi ? Yaani ungekua kt ya wabunge makini !
Ni kweli ulichokistukia bila kukopesa au kumung'unya huo ni mtindi milk !
BAGAH ! Kama mjengoni sijui nikufananishe na Zitto Zuberi ? Yaani ungekua kt ya wabunge makini !
Ni kweli ulichokistukia bila kukopesa au kumung'unya huo ni mtindi milk !