Is it fair?!

swala zito..huyo jirani amepata ushahidi wa kutosha jamaa anacheat au anahisi?hapo ni mwendo wa pole pole

Kwa kweli anadai kuna some signs he saw in his body which to mention here is aibu. If u can PM me will be great. Thanks
 
Mke akae amkalishe kwa upendo waongee!

Huenda mama nae kashindwa kumpa mapenzi moto2 kama zamani...basi mama improve mapenzi kwa stilye tofauti...mwonyeshe kuwa wewe ni mke na umekamilika kama mwanamke!

Ni two way trafick...tusimlaumu tu huyu jamaa!

Akina mama mara nyingi wanajisahau!

nakubaliana na wakina mama smtymz tunajisahau but not all the time, kuna wanaume wengine hata uwapatie mapenzi ya kiwapi sijui bado tuu hawakamatiki, looooo
 
Bellie, kimbembe ni kuwa atamwambiaje mumewe 'twende tukapime' out of the blues?
Kwa nini, kwa mfano, wasikae wakazungumza kuliko kusitishiana huduma gafla, kumbe wala hana iyo nyumba ndogo ila kwa kusitisha ndo anamfanya aitafute na ataipata! Ohoo

Hakuna ugumu wowote wa kumwambia, kwa sababu uamuzi wa kumyima tunda aliouchukua ni hukumu tayari ya kwamba mai hub wake amekuwa konekted. Katika hali ya kawaida ingekuwa kwamba amwambie waende wakapime vinginevyo hamgei tunda. Sasa yeye ni kama ameanzia mwisho. Tabu ninayoiona hapa ni iwapo mai hub wake akikubali kwenda kupima afu Mungu bariki wote wakawa hasi, namna ya kuifuta hiyo hukumu ya kunyimwa tunda ndo itakuwa tabu
 
Of course, nakubaliana na wewe kuwa kitendo cha kumyima unyumba tayari ni hukumu ya aina yake na itachukua muda kufutika hukumu ya ki ivyo....
 
kumnyima ndio anajharibu zaidi kwani yawezekana kabisa bwana mzee hana hiyo nyumba ndogo ila kwa kufanya hivyo atakuwa anamlazimisha akaitafute, end of the day iko siku atamkubalia tuu kwani ni haki yake
 
Tatizo kubwa ni kwa mwanamke moja kwa moja.
Wanawake wengi iwa wanajisahau wanajua kuwa wakisha olewa tu basi kazi imeisha au safari ya maisha katika mapenzi imekwisha ambapo si kweli.
Utaona maufundi na maujuzi aliyo kuwa anamwonyesha mchumba wake kipindi cha uchumba basi anayaweka kapuni pindi akiolewa anasahau kuwa mapenzi katika ndoa ni ubunifu ili kumfanya mmeo asahau hata vimada wake wa long.
Sasa akiona manjonjo au mahanjamu yanapungua basi kama alikuwa anarudi saa 2 au 3 utaona tu dalili ataanza kurudi saa 5 au 6 kabisa sometime safari za kikazi zinakuwa nyiiingi kumbe mtu yupo Sinza anakula Ngwasuma kwa saaana tu huko Shinyanga sijui Mwanza safari inaishia Sinza hapo.
Wanawake badilikeni msijisahau mnapo olewa ujuzi au ufundi nijuavyo mimi hauzeeki.Kazi kwenu wanaume wenu wataendelea kuwatoroka na kuwaletea magonjwa ndani ya nyumba.
 
Tatizo kubwa ni kwa mwanamke moja kwa moja.
Wanawake wengi iwa wanajisahau wanajua kuwa wakisha olewa tu basi kazi imeisha
sawa sawa......kinachonikera kwa wakina mama wakishaolewea ni kujiachia....suala la usafi unamkuta mwanamama akishajifungua hajijali nguo zote zinanuka maziwa ya mtoto haseti tena nywele zake......havai vipedo....na wananenepeana sana wanakuwa wavivuuuu

........afu wanaweka mapenzi saana kwa mtoto kuliko mume.......hii inafanya janaume likiona vitoto vinavyojua kuvaa na kupiga unyunyu lazima washoboke.....
 
jamani nadhani wote ni wazima mimi mgeni japo sina kamba mguuni kwa hivyo nahitaji ushirikiano haswa mambo ya elimu,kuna jamaa nimeona amezungumzia maswala ya 'skolaship' so naomba more details jamnai hasa nchin danmark:confused:
 
Tatizo kubwa ni kwa mwanamke moja kwa moja.
Wanawake wengi iwa wanajisahau wanajua kuwa wakisha olewa tu basi kazi imeisha au safari ya maisha katika mapenzi imekwisha ambapo si kweli.
Utaona maufundi na maujuzi aliyo kuwa anamwonyesha mchumba wake kipindi cha uchumba basi anayaweka kapuni pindi akiolewa anasahau kuwa mapenzi katika ndoa ni ubunifu ili kumfanya mmeo asahau hata vimada wake wa long.
Sasa akiona manjonjo au mahanjamu yanapungua basi kama alikuwa anarudi saa 2 au 3 utaona tu dalili ataanza kurudi saa 5 au 6 kabisa sometime safari za kikazi zinakuwa nyiiingi kumbe mtu yupo Sinza anakula Ngwasuma kwa saaana tu huko Shinyanga sijui Mwanza safari inaishia Sinza hapo.
Wanawake badilikeni msijisahau mnapo olewa ujuzi au ufundi nijuavyo mimi hauzeeki.Kazi kwenu wanaume wenu wataendelea kuwatoroka na kuwaletea magonjwa ndani ya nyumba.

Jamani hapa naona mzani unalemea sehemu moja tuu(wanawake), ok sawa wapo wanawake waliopo katika hilo fungu. Sasa na je, kama unakuta wife anajituma kikweli katika kila nyanja lakini njemba haioni wala haisikii. Mfano, hana resposibilities kama kudume (kumtake care mama kumpa hela ya vipodozi n.k) ili hali hiyo pesa anayo sema anajifanya hana ili aifanyie mambo yake hapo baadae(kwenda party, disco, kulewa pombe...) hapa mtasema nini sasa. Kwa hiyo kwa kuwa hamna huduma kwa mama na yeye akatafute nje! Haya sasa wana JF.
 
Nashauri asimnyime ila ampe kwa kutumia kinga (condoms) ili taaratibu amwambie anajaribu kuzuia mimba nk jamaa atazoea na hatimaye a-introduce sual la kupima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom