Is it correct to say that Negative x Negative= Positive?

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
781
Reaction score
1,246
I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct? Or we swallow the answer without critical thinking?

My opinion: Let mathematicians rethink again about its answer. For me it is wrong. It is like saying once you increase debts then it turns into equity or you no longer pay the debts i.e they are cancelled.
 
I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct?
Mkuu ulisoma Topic inaitwa Logic na ukaielewa?

Unaujua maana ya Msemo wa ADUI wa ADUI yako ni RAFIKI yako?
 
Unachotaka kusema ni kwamba, kwa mf. -2×-3 = -6 yani kusiwe na tofauti na hesabu hii -2 × 3 = -6.
 
Ipo ivi mathematical kuzidisha ni kutafuta dhamani ya base mara certain times. Mafano 2 x 4 ni 8.

Hapa tunapata dhamani ya 2 mara nne zaidi. Hii inamaanisha dhamani ya 2 x 4 ni kubwa kuliko dhamani ya 2"

Kwenye issue negative ipo ivi, -2 ni kubwa kuliko -4, hapa -2 ipo maximum ikiwa inaendelae -3, -4 ... -99 hizo sio maxmum.

Ikiwa kuzidisha ni kupata maxmum ( namba kubwa) tukisema -2 x -4 = -8, hapa tuna mwambia mtu -8 ni kubwa kuliko -2 au ukiwa na deni la 2 ukikopa mpaka ukafika mara 8 zaidi unapata unafuu kuliko kubaki na deni la 2 ambapo sio kweli

Kiufupi yani mtu mwenye deni la -2 anayo nafuu kuliko mtu mwenye deni la -8.. Uki zidisha -2 × -4 ni kutafuta dhamni ya ndogo zaidi (Kuzidisha negative kwe negative ni kurudi nyuma) ili kukupa unafuu. Inakuambia ukiwa na deni la -2 kwa watu wanne ww dawa ya deni lako ni kulipa sh 8 sio kuleta janja janja
 
I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct? Or we swallow the answer without critical thinking?
My opinion: let mathematicians rethink again about its answer. For me it is wrong. It is like saying once you increase debts then it turns into equity or you no longer pay the debts i.e they are cancelled
You are getting the point wrong. What does positive stand for after negative is multiplied my negative is different from what you are making your logic.

Let me give a correct logic. Example: if someone say,
1. Do not not go (means go),
2. I didn't find him not at home (Mean He was at home). I found him not at home (means he was not at home).

If you say a negative sentence followed by a negative sentence it became negative.

Check other examples below.

1. Do not go, no.

Now, when you When you increase your debt, you also increase your cash (positivity is here). You can use the money to buy inventories for sale hence make revenue which turns to equity.

When you increase your sales, you also increase your cash (positivity is here).
 
It is like saying once you increase debts then it turns into equity or you no longer pay the debts i.e they are cancelled
Logic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.

Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?

-2,000 x -4 = 8,000.

Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Ndiyo, inapaswa kuwa hivyo kiuhalisia lakini.
-2 × -3 maana yake ni SAWA na kusema una deni la sh 2/=, Hilo deni likiongezeka Kwa mara 3, utakuwa na deni la sh6/=, Sasa negative sign kwenye 3 tuseme imaanishe "kinyume", kwahiyo deni la sh 6/= kinyume chake ni faida ya sh 6/= .
Kwahiyo -2 × -3 = 6

Kwa maoni yangu lakini!!
 
Logic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.

Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?

-2,000 x -4 = 8,000.

Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
You deserve to be a teacher pal..
 
Ipo ivi mathematical kuzidisha ni kutafuta dhamani ya base mara certain times. Mafano 2 x 4 ni 8.

Hapa tunapata dhamani ya 2 mara nne zaidi. Hii inamaanisha dhamani ya 2 x 4 ni kubwa kuliko dhamani ya 2"

Kwenye issue negative ipo ivi, -2 ni kubwa kuliko -4, hapa -2 ipo maximum ikiwa inaendelae -3, -4 ... -99 hizo sio maxmum.

Ikiwa kuzidisha ni kupata maxmum ( namba kubwa) tukisema -2 x -4 = -8, hapa tuna mwambia mtu -8 ni kubwa kuliko -2 au ukiwa na deni la 2 ukikopa mpaka ukafika mara 8 zaidi unapata unafuu kuliko kubaki na deni la 2 ambapo sio kweli

Kiufupi yani mtu mwenye deni la -2 anayo nafuu kuliko mtu mwenye deni la -8.. Uki zidisha -2 × -4 ni kutafuta dhamni ya ndogo zaidi (Kuzidisha negative kwe negative ni kurudi nyuma) ili kukupa unafuu. Inakuambia ukiwa na deni la -2 kwa watu wanne ww dawa ya deni lako ni kulipa sh 8 sio kuleta janja janja
Kaka nimekuelewa sana aisee yaani ungekuwa karibu ningekununulia hata juice ya Mango kabisa [emoji23]
 
Logic yake ni hii. Negative maana yake ni kiasi chini ya Sifuri(Imaginary). Hivyo Hesabu yoyote inayohusisha -ve, tafsiri yake ni kitu ni hakipo. so ukizidisha ni unakuwa unatafuta kilichokuwepo before.

Mfano swali kama:
Mcheza kamari hupoteza 2,000 kwa siku, Je alikuwa na kiasi gani siku 4 zilizopita?

-2,000 x -4 = 8,000.

Utapata alikuwa na Shilingi 8,000.
Umesomeka vema
 
Mjadala umeisha
 
Back
Top Bottom