Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,231
- 113,608
Sex...is it a need or want?
it is a need for men a want for women
Hivi hiyo english yangu hapo niko sahihi? Lol
mhhhhhhhh how?
Mwanamke anaweza kukaa years bila sex; mwanaume hawezi kwani mwili unadai; ndio unasikia watu wanajichua; why??
mwanamke anaweza kukaa years bila sex; mwanaume hawezi kwani mwili unadai; ndio unasikia watu wanajichua; why??
Nyumba Kubwa,
Mbona kuna wanawake wengi tu ambao wanajichua pia. Na nilichogundua mimi ni kwamba wanawake wengi hawako tayari kukiri ukweli huu kwa wazi kama ilivyo kwa wanaume.
Sasa hapo unasemaje? Wewe umewahi kujichua?
mbona wapo wamama waume wao wakisafiri miezi tu ni shida?
Wanaume maaskofu wa rc????
Tena wamama wana anuai ya zana nyingi tu. Kuna mboli bandia za kila aina - zilizonyooka, zilizopindia kushoto, kulia, juu, chini, na kadhalika. Kuna nyeusi, kuna nyeupe, kuna nene, kuna nyembamba, kuna za saizi ya kati, fupi na ndefu.
Wana vitingishi (vibrators) vya kila aina pia. Yaani hawa watu wana kila aina ya nyenzo. Na ndio maana sijawahi kuona adult emporium yoyote ile iliyofilisika. Jiulize kwa nini?
tena wamama wana anuai ya zana nyingi tu. Kuna mboli bandia za kila aina - zilizonyooka, zilizopindia kushoto, kulia, juu, chini, na kadhalika. Kuna nyeusi, kuna nyeupe, kuna nene, kuna nyembamba, kuna za saizi ya kati, fupi na ndefu.
Wana vitingishi (vibrators) vya kila aina pia. Yaani hawa watu wana kila aina ya nyenzo. Na ndio maana sijawahi kuona adult emporium yoyote ile iliyofilisika. Jiulize kwa nini?
Ahahaah!! Mbona unajishtukia The Boss!!Hivi hiyo english yangu hapo niko sahihi? Lol
Na ni wamama wa aina gani ambao ni wateja wa hivyo vitu. Nadhani mostly ni lesbian; why should one look for toys wakati anaweza pata kitu real.
ahahaah!! Mbona unajishtukia the boss!!