Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,321
- 33,126
Mkuu Mupirocin Umeshapata neno la kunitangazia Kuna Dawa duniani yaMwiteni mzizimkavu atawambia Ukimwi unatibiwa kwa kunywa maji ya vuguvugu. Waganga wa kienyeji bwana shida tupo. Wanawapoteza sana watanzania.
Mkuu wewe jua HIV ndo inayosababisha AIDS watu wapo na ugonjwa upo. Kama wataka amini ni pm au nenda hospital yeyote kubwa utawakuta kibao
Kizungu ya kutibu huo Ukimwi? Kusanyikeni Ma-Dakatari wote wa Tanzania munionyeshe ni Mgonjwa yupi wa ukimwi mliye
mtibu? Mnashindwa kutibua Maradhi chronic disease Mtaweza kumtibu Mtu Mwenye Ukimwi?Mtu akiumwa mnampeleka
India akatibiwe Mbona mmumeshindwa kumtibu Daktari Mwenzenu Dr. Ulimboka mkaamuwa kumpeleka South Africa kwenye matibabu? Mngojee aliye weka Thread Mkuu.@Obi Aku PM umpe dawa ya kutibu Ukimwi Doctor Mupirocin