Free WorldUKIMWI upo na unauwa kama kawa! Wewe huna ndugu kafa kwa ngoma? Hizo porojo nyingine waachie wenyewe!
Ila da! naona kama umebananga kizungu kwenye heading yako! Ungechapa kimatumbi tu!
Free World
By the way vipimo vinavyotumika kupima HIV sio vya kweli. Kama wewe sio Daktari muulize Daktari yeyote atakupa jibu
Mkuu hippocratessocratesMkuu, unamaanisha vipimo vinavyotumika kupima HIV so vya kweli?!
Mkuu king kong unaposema usitegemee report za Wazungu una maana ipi hasa?Kama Hauamini nenda Kimboka,Rozana,Kona Baa,Jolly,Ohio gonga dry tu kwa mda wa miezi sita halafu nenda kapime hospital ukikutwa ni HIV+ pima Kinga yako kabla halafu fuatilia COntents za Kinga then uje kutupa jibu kama ni kweli zinasababisha au la usitegemee riport za wazungu nawewe unaweza fanya practical......
Wanabodi,
Kwanza nikiri kuwa mimi sio Dacktari. Kuna debate inayoendelea kwa muda mrefu sana kuhusu kitu kinachosababisha AIDS. Kuna Wanasayansi wanaosema HIV Virus haisababishi AIDS na kuna wanaosema HIV Virus ndio kisababishi cha ugonjwa huu hatari.
Pia kuna debate pia kuwa AIDS haiambukizwi kwa kushirikiana kimwili kwa jinsia tofauti. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba AIDS/UKIMWI inatofautiana kulingana na sehemu (Western World and Sub Saharan World). Western World AIDS is a homosexual (Gay) related desease while in Subsaharan World AIDS is heterosexual related desease??? na ndio hapo watu wanajiuliza ni kwa nini iwe hivyo?
Nimeambatanisha documentary inayoelezea kwa urefu sana hii ishu. Ni ndefu kidogo na inahitaji muda usiopungua saa mbili.
HIV=AIDS: Fact or Fraud? A Stephen Allen film. - YouTube
Wanasayansi wengine wanasema kuwa hakuna mtu yeyote ambaye amewahi ku isolate HIV Virus (Ingawaje kuna Wanasayansi walioshinda Npbel Prize kwenye hili).
Nimeambatanisha pia Documentary hapa kuhusu hili.
The Emperors New Virus? - An Analysis of the Evidence for the Existence of HIV (Documentary) - YouTube
Lengo langu sio ku provoke wagonjwa wa AIDS bali lengo ni kuanzisha mjadala utakaosaidia kuleta suluhisho la kudumu litakalosaidia watu wenye kuumwa na huu ugonjwa.
Mkuu hippocratessocrates
Hivyo vipimo vinavyotumika hai detect HIV Virus bali vinatumika kupima Anti-body
I agree with you PgSoft2008This debate is much longer than we all think. i totally agree with you as I have been in the HIV/AIDS industry for quite some time now. i.e. researching, capacity building and preventive measures implementations.
Mkuu Mpangamji hiyo documentary nimeiangalia sana, ila nilisahau kuiambaanisha kwenye hiyo post ya mwanzo. Nakubaliana kwa asilimia kubwa sana na wewe kwamba huu ni mradi mkubwa kwa watu wenye pesa zao.
Ninatofautiana na wewe kwenye utumiaje wa hizi dawa. Kama umeangalia vizuri documentary ya kwanza kuna dawa inayoitwa AZT ambayo ni aina mojawapo ya ARV wengi wa waliotumia (Kwenye hiyo documentary) wanasema wameanza kuumwa kwa kutumia hizo dawa???? Kuhusu suala la lishe hilo linajulikana mgonjwa yeyote anahitaji lishe iliyobora aweze kutengeneza kinga ya kupambana na ugonjwa unaomsumbua.
Kuna study zimefanywa kwa Mbwa wakagundua kuwa asilimia karibia 50 ya Mbwa waliopimwa wamekutwa ni HIV - Positive. Reference Strandstrom H, et al 1990 Studies with Canine Sera which Recognise HIV Structural Proteins, Cancer Research
Si hilo tu In another report, 13% of Amazonian Indians who do not have AIDS and who have no contact with people outside their own tribe tested HIV positive. Reference HIV & AIDS - Is a Positive Western Blot Proof of HIV Infection?
Waswahili wana sema akili kumkichwa