Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
hyo ni ya men, siku nikikutana na ya women nitaiweka.
Itakuwa poa sana mkuu,muhimu pande zote mbili zijulikane.
hyo ni ya men, siku nikikutana na ya women nitaiweka.
Mi naomba tu tukutane kwenye mgahawa nikuone unavyokula ili nijipatie majibu mi mwenyewe,ila sasa usiende kujifanyisha naomba ukawe real ili nikujue umesikia eehhh.
Teh teh..japo mualiko sio wangu lakini ningekuwa "mwanamme" ningekaribia!!:fish:
Tukutane Karambezi kesho jioni, my treat
Au unatapenda Restaurants zenye Italian food?
Inabidi nihame hii chobingo. Ishakuwa baraza.