Is God Real?

Is God Real?

God refers to the supernatural power that is beyond your imagination. It is the overall authority over the universe and it really exists. If you can't easily understand this, just try to go against the unwritten principles of the universe, you won't like the consequences
 
Who proved this? What evidence supports your claim?
 
Ushahid wa uwepo wa Mungu ni dhaifu mno na umekaa kiimani tu
Ni kweli maan sometimes tukitrace back on the human history hivi vitu havikuwepo mfano wahadzabe ambao hadi sasa huishi maisha primitive hawana Imani kuhusu haya mambo same it started from one person then spread out to other people.
 
God refers to the supernatural power that is beyond your imagination. It is the overall authority over the universe and it really exists. If you can't easily understand this, just try to go against the unwritten principles of the universe, you won't like the consequences
Unawezaje kujaribu kuthibitisha kitu ambacho unadai ni beyond your imagination?
 
Cc Kiranga cha ngeba from pwani
Ukishaona mjadala na maswali kuhusu uwepo wa Mungu (awali ya yote nakusudia Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye upendo wote), huo mjadala tu ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo mwenye sifa hizo hatakiwi kuwa mkatili hivyo kuwanyima uwezo watu kujua kwa uhakika, bila mjadala wala maswali, kuwa yeye Mungu yupo.

Mungu angekuwapo kweli, isingewezekana kuwa na mjadala kuhusu uwepo wake.

Uwepo wake ungejulikana, ungejulikana kwa wote, wakati wote, pahali pote, muda wote, bila shaka yoyote, kwa namna ambayo mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana.

Kwa hiyo, ukiona swali, mjadala, mabishano yoyote, kuhusu uwepo wa Mungu, hilo swali, huo mjadala, hayo mabishano, ni uthibitisho kuwa huyo Mungu hayupo.

Yani huyo Mingu ni kwa kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, zaidi ya hizo hadithi, hayupo.
 
Mungu yupo ndani yako. Mara nyingi hufanya kazi kupitia wewe ila kuna kanuni na masharti yake.

Mungu hana huruma na mtu yoyote, mara nyingi anaweza kukupa kile unachokiwaza mara nyingi hata kama ni kibaya

Halazimiki kujibu maombi kwa njia na namna ile unayotaka wewe

Mungu ni wazo na hakuna kitu chochote kinaweza kutokea kabla ya wazo kwanza
 
Ukishaona mjadala na maswali kuhusu uwepo wa Mungu (awali ya yote nakusudia Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye upendo wote), huo mjadala tu ni ushahidi kuwa Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo mwenye sifa hizo hatakiwi kuwa mkatili hivyo kuwanyima uwezo watu kujua kwa uhakika, bila mjadala wala maswali, kuwa yeye Mungu yupo.

Mungu angekuwapo kweli, isingewezekana kuwa na mjadala kuhusu uwepo wake.

Uwepo wake ungejulikana, ungejulikana kwa wote, wakati wote, pahali pote, muda wote, bila shaka yoyote, kwa namna ambayo mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana.

Kwa hiyo, ukiona swali, mjadala, mabishano yoyote, kuhusu uwepo wa Mungu, hilo swali, huo mjadala, hayo mabishano, ni uthibitisho kuwa huyo Mungu hayupo.

Yani huyo Mingu ni kwa kwenye hadithi za kutungwa na watu tu, zaidi ya hizo hadithi, hayupo.
Sahihi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom