Daymn! nilikua sijawahi kuuskia huu wimbo.
Nadhani globalisation, just like anything, ni panga la visu viwili. Ukienda enda haraka unapelekwa.
Ila ukiona katika hii video ya mkuu Lema (I love him) wamechanganya half/half.
sio mmoja anakuja na analazimisha culture yake ndio iwe dominant!