Is CHADEMA a sleeping giant?

Huyo aliyepiga hiyo picha anastahili tuzo aisee, picha LA kibabe sana.
 
Unaota mzee baba CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kizito tena kishindo kizito
Hakuna kama Magufuli
 
CHADEMA is not a strong institution, so is CCM. Watu wapo mezani ili wale washibe, hizo nyingine ni porojo tu ili ugali uwekwe mezani kirahisi. Hakuna chama ambacho kiukweli kimeweza kutengeneza mfumo imara kiutawala, hakuna. Ni ubabe, vitisho, kuteuana na kuwekana sehemu wanazopata ugali mtamu, sio CCM wala CHADEMA, wote wanawekana kwa kujuana, kwa itikadi wanazojua wao n.k. Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa.
 
Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa. [emoji848][emoji848][emoji848]POROJO.. [emoji144][emoji144][emoji144]
 
Hizo zingine ni porojo tu mnaleta hapa. [emoji848][emoji848][emoji848]POROJO.. [emoji144][emoji144][emoji144]
Unless upo kwenye system na unapata benefits kichama/kiserikali, otherwise kwetu sisi neutrals ni porojo tupu.
 
Sleeping giant that will never wake up...
Toka 1992 bado wamelala tu, huo usingizi ni zaidi ya wa pono.
 
Your browser is not able to display this video.

Jr[emoji769]
 
Jr[emoji769]
 
Kwa sisi tunaiamini nguvu za roho wa Mungu...kwa kweli hakuna narudia tena hakuna mfano kwa nguvu aliyonayo Lissu si ya kawaida...

Si ya kawaida!!
 
Kwa sisi tunaiamini nguvu za roho wa Mungu...kwa kweli hakuna narudia tena hakuna mfano kwa nguvu aliyonayo Lissu si ya kawaida...

Si ya kawaida!!
Yeah mpaka anatisha ujue

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…