Uchaguzi hauwezi kuwa huru Wala wa Haki maana sisiem hawataki kunyang'anywa dola, hili alishatuhakikishia bwana bashiru.Niko Tanga milimani kabisa.. Kwenye ngome za ccm tangu uhuru. Mambo yamebadilika mno. Lugha ya huku vijijini ni CHADEMA. Si watoto si vikongwe. Achana na wajasiriamali, wafanyakazi wafanyabiashra na walimu.
Wanasema CHADEMA liyotabiriwa kufa tangu 2011 na kufanyiwa kila aina ya ubaya bado iko LIVE.
Kuna baadhi wameenda mbali zaidi kwa kuilinganisha CHADEMA na SIMBA kwenye mechi ya jana. Kwamba sasa CCM ni DHOOFU muhali Kama yanga jana.
Na kwamba kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi nchi kwa CHADEMA
View attachment 1505497
Mimi nasema bila kumumunya maneno, 'kata ubishi' kura zihesabiwe kwa haki kama walivyofanya uchaguzi wa wagombea urais wa Zanzibar, wagombea washirikishwe kuhesabu na kupokea matokeo yao vituoni na waulizwe je wameridhika?.Niko Tanga milimani kabisa.. Kwenye ngome za ccm tangu uhuru. Mambo yamebadilika mno. Lugha ya huku vijijini ni CHADEMA. Si watoto si vikongwe. Achana na wajasiriamali, wafanyakazi wafanyabiashra na walimu.