Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 570
WanaJF, kwanza kabisa ili nisiwe plagiarist, ningependa kusema kwamba thread hii nimeianzisha kutokana na thread ya ile ndoa ya kijana wa 25 anamuoa bibi wa miaka 56 huko Kenya.
Nimeona maoni kibao lakini kilichonipelekea kuanza kutafakari ni cliche kama - age is nothing but a number, wengine eti maturity comes with age nk.
Lakini kwa kujadili issue hii, ningependa kujua what would be acceptable - maana huyo kaka akiwa 45 years bibi atakuwa 76 (I guess senile...) Pia labda kwenye kurelate...maana mi naona umri pia inasaidia kufikiria at same level, maana wakati mwingine unaweza kumuona mtu dense kwamba haelewi kumbe ni umri, lakini wengine wako tofauti na umri wao...
Kwa hiyo wanaJF what would be acceptable for both genders in relationships and marriage, maana tukisema kwamba age is nothing but a number... But which number is it?