Is Age nothing but a Number?

Theodora

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
802
570
WanaJF, kwanza kabisa ili nisiwe plagiarist, ningependa kusema kwamba thread hii nimeianzisha kutokana na thread ya ile ndoa ya kijana wa 25 anamuoa bibi wa miaka 56 huko Kenya.

Nimeona maoni kibao lakini kilichonipelekea kuanza kutafakari ni cliche kama - age is nothing but a number, wengine eti maturity comes with age nk.

Lakini kwa kujadili issue hii, ningependa kujua what would be acceptable - maana huyo kaka akiwa 45 years bibi atakuwa 76 (I guess senile...) Pia labda kwenye kurelate...maana mi naona umri pia inasaidia kufikiria at same level, maana wakati mwingine unaweza kumuona mtu dense kwamba haelewi kumbe ni umri, lakini wengine wako tofauti na umri wao...

Kwa hiyo wanaJF what would be acceptable for both genders in relationships and marriage, maana tukisema kwamba age is nothing but a number... But which number is it?
 
Nadhani age is nothing,But kama ikiwa nothing lazima kwenye kichwa uwe na vitu vya maana hata kama mdogo,ila kama ni nothing then kwenye kichwa upo empty basi hapo ni hasara tu,ila kwangu age ni ya kawaida tu wala sifatilii.Pia vile vile mpishane labda miaka 2 hadi 5 lakini sio zaidi ya hapo.
 
maturity comes with age..hii inaukweli...japo kuna baadhi ya watu wenye umri mdogo na wana fikiria kikubwa. Tatizo ni kuwa watu wengi wanaona si sawa kama uhusiano unakuwa kati ya mtu mwenye chini ya miaka 30 na yule mwenye zaidi ya 50. Ila kama ni kati ya 40s na mwingine 60s au 50s na mwingine 70s, watu huwa hawasemi sana...ukiuliza unaambiwa..wote ni watu wazima!!
 
Age ni ishu kubwa sana kwenye swala zima la mahusiano, especially kama tofauti itakuwa kubwa sana! kama mume anazidiwa na mke kwa miaka 20 wewe unategemea kutakuwa na mazungumzo gani ya maaa ndani ya familia.
 
Mmh.mi naona age matters alot hasa katika bara letu la Afrika..Nitarudi hapa kesho kwa maelezo ya kina.
 
Jamani hili suala linaweza kuleta fikra/majibu tofauti kutokana na Mila/Desturi za mahali linapo jadiliwa,ktk mila za kiafrika sehemu kubwa mme anatakiwa awe na umri mkubwa kuliko mke,lkn ukichunguza mila za wenzetu wazungu hili halina nafasi sana na nafikiri ndio asili msemo huu wa...age is nothing but a number ....uliko anzia nikwa na maana linatumika kama kinga/jibu fupi kama ukiwa una jiuliza swali kama hili.
Kwa yangu machache naomba kuwasilisha
 
......Mambo ya umri hapa inategemea na mtu mwenyewe unapendelea uwe na mahusiano na mwanamme/mwanamke wa umri gani. Mie kwa kweli nilipenda niwe na mwanamme aliyenizidi umri zaidi. Hivyo kwenye swala la umri ni uamuzi wa mtu binafsi, muhimu upendo wa dhati baina yenu.
 
Jamani hili suala linaweza kuleta fikra/majibu tofauti kutokana na Mila/Desturi za mahali linapo jadiliwa,ktk mila za kiafrika sehemu kubwa mme anatakiwa awe na umri mkubwa kuliko mke,lkn ukichunguza mila za wenzetu wazungu hili halina nafasi sana na nafikiri ndio asili msemo huu wa...age is nothing but a number ....uliko anzia nikwa na maana linatumika kama kinga/jibu fupi kama ukiwa una jiuliza swali kama hili.
Kwa yangu machache naomba kuwasilisha

Hapo red colour naomba ku-differ na wewe kidogo.,hiyo si mila bali ni mazoea tu yaliyotokana na mfumo dume uliowekwa toka enzi za mababu.,sioni tatizo la mke kuzidi umri lakini isiwe tofauti kubwa sana.,nadhani range ya mwaka 1 au 2 sio mbaya sana, zaidi ya hapo hata mimi sikubali.,by the way mfumo wa maisha ya kiafrika unamweka mwanaume kama mtu mwenye sauti katika familia no matter the age, so sidhani kama mwanamke ataweza kukupanda kichwani kisa eti kakuzidi umri labda uwe na mapungufu yako mengine na yeye a-take it for granted.
 
Hapana age is not just a number. It comes with a range of other things pamoja na kuchakaa kila
nambari ikizidi kwa hiyo kimapenzi inabidi utafute your comfort zone. Kwa wazungu age is just a number when a man wants to date a much younger woman but when a woman wants to date a much younger man she is called a cougar.
¬K
 
Lakini kwa kujadili issue hii, ningependa kujua what would be acceptable - maana huyo kaka akiwa 45 years bibi atakuwa 76 (I guess senile...)

sijasoma hii story kwa undani but,who knows their marriage will last another 20yrs?
...for all i know,one of them could die tomorrow!..dont you think she/he will die a happy person??...
...ndoa kama hizi sio siri,they have discussed e'thing before they tie the knot!..labda kama huyo mama angekuwa hana watoto,ila sidhani kama anafikiria kuzaa tena and the guy is happy since anapata kila kitu!...is like any bussiness agreement...comes with conditions,..i only can provide this and this...and cant provide so and so...in return i will have that and that...you are happy,then you go and sign the agreement....LOL

...and i dont think people get married thinking what their lives would be in 20 yrs to come?!LOL...if there is,my apologies...
 
Back
Top Bottom