Is a woman a derived demand?

Is a woman a derived demand?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
wana mmu! bila shaka mu wazima wa afya!

suala hapo juu limekuwa likinisumbua sana! tuwaache wale walioko kwenye ndoa, tujadiliane sisi ambao ni bachelors

kwanza japo na wao wachangie kwa sababu walipitia hii hatua!

naomba nifafanue hapa kwanza maana ya hii economic term, derived demand, ''is the demand that results to the

demand of the other good'',
yani uhitaji wa huduma fulani, kwa mfano usafiri wa daladala, unapelekea kupata kitu

kingine tofauti na ule usafiri. hivyo, usafiri umepelekea kupata kitu kingine!

hii mimi binafsi nimeweza kuifananisha moja kwa moja na hili suala ambalo linatusumbua sisi vijana mostly,

kwanini kila kijana sasa hivi ana 'demu'? je, unafikiri huyo aitwaye dem ni kkwa ajili ya urafiki tu wa kawaida kama kusaidiana mambo fulani fulani?

kwanini kila kijana mwenye msichana lazima kuwe na ngono kati yao?

kwa hiyo kwa haraka haraka ni kwamba, hatuhitaji wanawake, ila tunahitaji papuchi zao ?

NB: kwa walio kwenye ndoa, hii pia inawahusu sana!!!!!!! kwanini mwanamke asipokuwa na uwezo wa kuzaa inakuwa majanga?

karibuni tujadiliane wadau!!
 
kwa nini mwanaume naye asiwe derived demand... wanawake wanatutaka kwasababu kuna kitu wanakitaka toka kwa wanaume
 
PAPUCHI HATA PAKA ANAYO!
GO FOR IT!
si uhitaji mwanamke?
AH sorre hv mlisema sisi wenye ndoa tupite tuu enh!
basi mwayego!
mi naenda! Kaizer usikuje huku!
 
Last edited by a moderator:
Mimi siyo mchumi ila nafikiri hiyo dhana ya derived demand hujaieleza au haijui vizuri. Tukichukua huo mfano wako wa usafiri. Tujikumbushe msimu wa kikombe cha babu samunge. Kulikuwa kuna demand ya kikombe, watu walitaka kunywa kikombe. Lakini ili wafike samunge walihitaji kupanda magari. So as a result kukawa na demand kubwa ya usafiri iliyosababishwa na demand ya kikombe. In this case usafiri ni derived demand iliyokuwa derived kutokana na demand ya kikombe.

Back to the topic, mwanamke ili awe mwanamke ni lazima awe na viungo vyote ikiwa ni pamoja na papuchi. Kwa hiyo kiungo kimoja kimoja hakina thamani.

Ni tofauti na gari ambapo japo ili lifanye jazi linahitaji kuwa complete, lakini bado kitu kimoja kimoja cha weza kuwa na thamani.

Therefore argument yako haina msingi na inaonyesha jinsi gani ulivyo kariri, badala ya kuelewa na kukupambanua mambo.
 
hahahaaa!!

mkuu wala hata usiogope!

ongea tu sometimes tujuwane sex zetu!

mi nshakujua tayari!
 
Mimi siyo mchumi ila nafikiri hiyo dhana ya derived demand hujaieleza au haijui vizuri. Tukichukua huo mfano wako wa usafiri. Tujikumbushe msimu wa kikombe cha babu samunge. Kulikuwa kuna demand ya kikombe, watu walitaka kunywa kikombe. Lakini ili wafike samunge walihitaji kupanda magari. So as a result kukawa na demand kubwa ya usafiri iliyosababishwa na demand ya kikombe. In this case usafiri ni derived demand iliyokuwa derived kutokana na demand ya kikombe.

Back to the topic, mwanamke ili awe mwanamke ni lazima awe na viungo vyote ikiwa ni pamoja na papuchi. Kwa hiyo kiungo kimoja kimoja hakina thamani.

Ni tofauti na gari ambapo japo ili lifanye jazi linahitaji kuwa complete, lakini bado kitu kimoja kimoja cha weza kuwa na thamani.

Therefore argument yako haina msingi na inaonyesha jinsi gani ulivyo kariri, badala ya kuelewa na kukupambanua mambo.

you went tooooooo fwar!!!

mi nimetolea mfano mwepesi tu na mlaini!

hivi unafikiri ningeingia ndani sana kwa economics tungepata achangiaji wangapi?

mpaka sasa tu uzi umedoda!

by the way, unakubaliana na hoja au bado una doubt?
 
kwa nini mwanaume naye asiwe derived demand... wanawake wanatutaka kwasababu kuna kitu wanakitaka toka kwa wanaume

msumeno huo!
 
Both of them are derived demand, sema sisi vidume tulishagundua kitamboo.
 
PAPUCHI HATA PAKA ANAYO!
GO FOR IT!
si uhitaji mwanamke?
AH sorre hv mlisema sisi wenye ndoa tupite tuu enh!
basi mwayego!
mi naenda! Kaizer usikuje huku!
nashangaa sana kukukuta umechangia huu uzi. hivi masharti ya mtihan uliyasoma ukayaelewa??
 
bhana eeenh!!! utajua maana ya ulichouliza ukifika umri wa kuwa na mwenzi
 
Weewe!
Kila kiumbe hai or/and vitu vinavyomove from one place to another, Ni lazima vitegemee!
...
Mwanadamu kama mwanadamu ni social being! Hawezi kuishi mwenyewe!
Hata hao binadamu wanaoitwa 'ANTI SOCIAL' hawapo ktk hali unayoielewa wewe!
...
Refers maandiko:
Mungu baada ya kumuumba Adamu na kumpa elimu, bado aliona haitoshi! Alimpelekea Hawa ili awe msaidizi wake!
Mmmh! 1 + 1 = 2 but 1 ikichanyika na 1 nyengine jibu sio mbili! Ni lazima itakua 3! Ndio kilichotokea kwa Adamu na bibie hawaa, pale walipokula tunda as a result tukapatikana sisi!
...
So M/me anamuhitaji m/ke kwa mambo mengi sana save/instead of mbunye!
Na M/ke anamuhitaji me zaidi ya mgegedo!
...
So, umekremu bandugu!
 
Hahaha mkuu umenifurahisha na title ya thread maana ni kama umenirudisha kwenye uchumi one back in days. Ila kwa upande wangu mimi mwanamke ni article of ostentation-...
 
hahahaaa!! mdada ana hasira huyu!

inaonekana bwanako huwa unamtia mikofi!
 
Hahaha mkuu umenifurahisha na title ya thread maana ni kama umenirudisha kwenye uchumi one back in days. Ila kwa upande wangu mimi mwanamke ni article of ostentation-...

mkuu mbona unazidi kuturudisha mbele!

yani wanawake wapo kwa ajili ya kuimpress watu wengine? (wanaume in general)
 
Weewe!
Kila kiumbe hai or/and vitu vinavyomove from one place to another, Ni lazima vitegemee!
...
Mwanadamu kama mwanadamu ni social being! Hawezi kuishi mwenyewe!
Hata hao binadamu wanaoitwa 'ANTI SOCIAL' hawapo ktk hali unayoielewa wewe!
...
Refers maandiko:
Mungu baada ya kumuumba Adamu na kumpa elimu, bado aliona haitoshi! Alimpelekea Hawa ili awe msaidizi wake!
Mmmh! 1 + 1 = 2 but 1 ikichanyika na 1 nyengine jibu sio mbili! Ni lazima itakua 3! Ndio kilichotokea kwa Adamu na bibie hawaa, pale walipokula tunda as a result tukapatikana sisi!
...
So M/me anamuhitaji m/ke kwa mambo mengi sana save/instead of mbunye!
Na M/ke anamuhitaji me zaidi ya mgegedo!
...
So, umekremu bandugu!

mkuu sijapenda hiyo kauli!

btw, naishia hapa. Baba V kapigwa ban tayari maeneo fulani sababu ya vineno kama hivi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom