Agrila Farming
Member
- Mar 3, 2018
- 64
- 53
Kwa ekari moja unaweza kutumia tank la lita 5000, Kwenye umwagiliaji wa tikiti,Mwanzoni baada ya kuotesha ni lazima kumwagilia maji ya kutosha(mizizi ishike vizuri ardhini) ila baada ya kama wiki tatu una weza kupunguza maji,Mr Engineer naomba usichoke tuelimishe. Hivi shamba LA matikiti Nina eka moja , ninahitaji tanki LA size gani kulimwagilia. Kuna Kijana alisema mche mmoja unahitaji Lita 4 kwa siku kna unamwagia kila baada ya siku mbili. He kiutaalamu yuko sahihi ? Help please
Bei inategemea na mahitaji ya size ya shamba ambalo pump itatumika kwa umwagiliaji,pia inategemea na unataka pump ya kumwagilia kwa kutumia system gani,drip au sprinkler.bei ya soral pump kwa kilimo cha umwagliaji inaweza fka shngap?
Hongera sana bossNi system nzuri sana ya drip...nimefunga ya papai hapa nyumbani yaani maji sio tatizo tena
Kuna wataalamu wengi wenye mawazo tofauti. Tatizo ninalo liona kwako ni urefu wa mnara wako. Pia hujasema maji yako una yashusha na pipe ya ukubwa gani pia shamba umeligawaje. Na una tumia system gani ya umwagiliaji.Asante ila embu nielimishe uzuri zaidi pls. Una maanisha kwa ekari nane lazima niwe na simtanks 10? Sasa mbona same tank inamwagia ekari 2 kwa pressure nzuri tu?
Natarajia kutumia system ya drip irrigation

Hope tumeelewana boss,Kwa maswali,ushauri,vifaa na ufungaji wa mfumo huu wa umwagiliaji usisite kuwasiliana nasi kupitia +255752022108.
Swali zuri.Wengi wanaofanya kilimo cha umwagiliaji kwa zao la maharage wanamwagilia kwa njia ya FURROW IRRIGATION yaani umwagiliaji kwa njia ya mifereji,changamoto kubwa ya umwagiliaji kwa kutumia mifereji inakuja kwenye wingi wa maji, JE UNA MAJI MENGI YA KUTOSHA?kumwagilia kwa mifereji kunapoteza maji mengi sana,Pili changamoto nyingine ni maambukizi ya magonjwa ya udongo toka sehemu moja ya shamba kwenda sehemu nyingine ya shamba na baadhi ya magojwa hayo yakisha athiri mmea huwa hayana dawa kabisa (dawa yake ni kung'oa miche iliyoathirika).Mfumo tunaoweza kukushauri na wenye gharama nafuu kwa kilimo cha kisasa cha maharage ni drip irrigation system (umwagiliaji kwa njia ya matone),mfumo huu husaidia sana kwani hutumia maji kidogo sana ukilinganisha na mifumo mingine ya umwagiliaji.Maji humwagiliwa tu pale yanapohitajika(kwenye mmea pekee).Maji humwagiliwa ya kutosha na mmea hukua vizuri na huwa na mazao bora sana,Mfumo huu utakusaidia pia kuokoa muda na mimea kupata muda kwa wakati kwani kwa kutumia mifereji vijana wa shambani wanaweza kukuambia wamemwagilia lakini hawajafanya hivyo yote ni kutokana na ugumu wa shughuli nzima ya umwagiliaji kwa njia ya mifereji.sisi kama wataalamu tunakushauri kumwagilia kwa kutumia drip irrigation system (umwagiliaji kwa njia ya matone.Je unaweza tumia mfumo gani wenye gharama nafuu kwa umwagiliaji wa maharage. NB maji yanatokana na kisima cha kumchimba.
Natanguliza shukurani
Swali zuri.Wengi wanaofanya kilimo cha umwagiliaji kwa zao la maharage wanamwagilia kwa njia ya FURROW IRRIGATION yaani umwagiliaji kwa njia ya mifereji,changamoto kubwa ya umwagiliaji kwa kutumia mifereji inakuja kwenye wingi wa maji, JE UNA MAJI MENGI YA KUTOSHA?kumwagilia kwa mifereji kunapoteza maji mengi sana,Pili changamoto nyingine ni maambukizi ya magonjwa ya udongo toka sehemu moja ya shamba kwenda sehemu nyingine ya shamba na baadhi ya magojwa hayo yakisha athiri mmea huwa hayana dawa kabisa (dawa yake ni kung'oa miche iliyoathirika).Mfumo tunaoweza kukushauri na wenye gharama nafuu kwa kilimo cha kisasa cha maharage ni drip irrigation system (umwagiliaji kwa njia ya matone),mfumo huu husaidia sana kwani hutumia maji kidogo sana ukilinganisha na mifumo mingine ya umwagiliaji.Maji humwagiliwa tu pale yanapohitajika(kwenye mmea pekee).Maji humwagiliwa ya kutosha na mmea hukua vizuri na huwa na mazao bora sana,Mfumo huu utakusaidia pia kuokoa muda na mimea kupata muda kwa wakati kwani kwa kutumia mifereji vijana wa shambani wanaweza kukuambia wamemwagilia lakini hawajafanya hivyo yote ni kutokana na ugumu wa shughuli nzima ya umwagiliaji kwa njia ya mifereji.sisi kama wataalamu tunakushauri kumwagilia kwa kutumia drip irrigation system (umwagiliaji kwa njia ya matone.

Kuuliza maswali usiwe na shaka mkuu we uliza tuu na kama kuna wengine wenye maswali tungependa kuyajibu hapa.Mkuu kwa kuwa umejitolea kutuelimisha naomba usichoke na maswali.
Je gharama za mfumo wa Drop inaweza kuwa sh. ngapi kufungia kwenye heka moja.
Nashukuru pia mkuu,karibu tena.Shukurani sana mkuu nimeshiba kwa maelezo.
Iko hivi mkuu,unaweza ukamwagilia shamba lote la acre 15 kwa kutumia kisima kimoja kama utachagua kumwagilia kwa mfumo wa matone (drip irrigation system) kikubwa ni kuhakikisha kisima kinakuwa na maji ya kutosha.Unapomwagilia kwa kutumia drip maji yanayotumika ni kidogo sana kwani maji huenda pale tu yanapotakiwa kwenda(kwenye mmea).Kabla ya kuchimba kisima kwa shughuli za umwagiliaji ni vyema wakakutembelea wataalamu watakao kupa maelekezo ya yapi kisima kingependekezwa kuchimbwa sio tu kwa ajili ya kupata maji ya kutosha bali kupunguza gharama za kufungiwa mfumo wako wa umwagiliaji. Kwa ushauri wa wapi kisima kichimbwe unaweza ukawasiliana nasi tukakutembelea shambani.Na mm sijabaki nyuma
Mtaalamu naomba unifafanulie ikiwa nina shamba la Hekari 15 na nahitaji kulilima lote kwa mfumo wa umwagiliaji je kisima kimoja kitamudu kutoa maji ya kutosha kumwagilia shamba lote?
Pia ni vitu gani vya muhimu vya kuZingatia kabla cjachimba kisima?
Je eneo la pwani kama chalinze linafaa kilima cha nyanya na matikiti? Au pengine na maharage?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa majibu na ufafanuzi mzuriIko hivi mkuu,unaweza ukamwagilia shamba lote la acre 15 kwa kutumia kisima kimoja kama utachagua kumwagilia kwa mfumo wa matone (drip irrigation system) kikubwa ni kuhakikisha kisima kinakuwa na maji ya kutosha.Unapomwagilia kwa kutumia drip maji yanayotumika ni kidogo sana kwani maji huenda pale tu yanapotakiwa kwenda(kwenye mmea).Kabla ya kuchimba kisima kwa shughuli za umwagiliaji ni vyema wakakutembelea wataalamu watakao kupa maelekezo ya yapi kisima kingependekezwa kuchimbwa sio tu kwa ajili ya kupata maji ya kutosha bali kupunguza gharama za kufungiwa mfumo wako wa umwagiliaji. Kwa ushauri wa wapi kisima kichimbwe unaweza ukawasiliana nasi tukakutembelea shambani.