IRIS-Series bora ya kipelelezi kutoka Korea

Korean movies sijui drama, Asian drama sijui... Nyingi ukienda angalia wanaiga mpka majina kama wachina na Nokia waita Nokla

Asian drama ni zero... Hollywood ni mwisho... Haya mambo ya kupigwa MTU ngumi dar ana angukia unguja sina urafiki nayo aise...
 
Kila mtu na mapenzi yake ila mm naona korean drama are far ahead in story wise kuliko hata hollywood...

Kuna watu washakaririshwa kuwa korean drama ni mbaya wakati hata hawajawhi kuziangalia wanaongea kishabiki tu

Niliishia pale kundi lenye uhusiano na Baek San lililovamia msafara na kufanikiwa kuwatorosha Baek San na Sa woo, Seung Hee anapigiwa simu aende mahali bila kumtaarifu mtu yeyote Kim Hyun anapata wasiwasi juu ya Seung Hee ni series nzuri nitaitafuta season 2.
 
Kila mtu na mapenzi yake ila mm naona korean drama are far ahead in story wise kuliko hata hollywood...

Kuna watu washakaririshwa kuwa korean drama ni mbaya wakati hata hawajawhi kuziangalia wanaongea kishabiki tu
Boss naweza kukupa mpaka site ya kuangalia series au kudownload hizi Korean D/Ms

Marekani mwisho wa yote... Huyo muigizaji wako wa Korean D/Ms ana tamani siku moja akaigize Hollywood, ila mshabiki wake anaongea ujinga kama movies zenyewe za kikorea zilivyo...
 
Netflix naona wameichukua hii series muda wowote wanaachia IRIS III.

Season II nasikia waliharibu kabisa ikanifanya nisiitafute kabisa.
Season ya 2 ni Utopolo ila so far ni best series ya Kikorea kwa upande wa action. Hakuna upumbavu wa kua gf wa star eti lazima awe kama kachetuka hivi.
 
Boss naweza kukupa mpaka site ya kuangalia series au kudownload hizi Korean D/Ms

Marekani mwisho wa yote... Huyo muigizaji wako wa Korean D/Ms ana tamani siku moja akaigize Hollywood, ila mshabiki wake anaongea ujinga kama movies zenyewe za kikorea zilivyo...
Hata wakati tuzo za oscar zilizopita zinatolewa na best movie,best director na best screenplay zilpochukuliwa na Movie ya Kikorea izo za Hollywood zilikuepo.Just becoz unapenda Hollywood haimaanish kua hakuna nchi zinazo fanya kazi vzur.Majuz tu hapa Money Heist ilikua habar ya Dunia na haikutoka Hollywood bro.Kuna movie industry zinafanya kazi poa sana.Maybe ww sio mpenzi wa movie au huangalii content unaangalia ma star.Hata sisi tunaoangalia Korean drama sio hzo za Hollywood hatuzioni bro so Chill.Usitumie nguvu nyingi ili uoneshe upumbavu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom