Iringa wamechoka jamani

View attachment 30359Wanafunzi wa shule ya msingi wakiwa wameshika bango maeneo ya kihesa Iringa, na wazazi wao wakiwa wanachoma bendera ya CCM wakati wa maandamano Iringa.
 
Mimi ninapoona wanawake na wanaume wanataka mabadiliko ya kweli moyo unakuwa mweupe kama theluji,heko sana wanyalukolo
 
Nimeipenda hii ya tusiahangaike na gamba sumu ndiyo inayotuua watanzania.

Mh sasa najiuliza nyoka mwenye sumu hupondwa kichwa hadi kufa..

Mh uuuuuuuh !hapo kichwa uma kabisa!
 
Chadema tumaini jipyaaaa, operesheni sangaraaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…