IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

mkuu nimemuelewa sana ila na wewe na mtoa mada akili zenu ziko sawa

nimefurahi kama umemuelewa...kuhusu kufanana kwa akili hilo ni jambo lingine sihitaji kulijadili!sipendi mada juu ya mada,yaani kuingiza mada nyingine katika mada nyingine...hivyo tuyaache hayo
 
Du hili sikuliona!
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Hakuna mkoa wa moshi,kuna mkoa wa kilimanjaro kuna wapare na wachaga
Hakuna mkoa wa bukoba,kuna mkoa wa kagera kuna makabila ya wahaya,wahangaza na wengineo.
Mtwara kuna wamakonde,wamakua na wengineo
 

Kama wahehe wasingeendekeza ushirikina, naamini Iringa ingekuwa moja ya mikoa bora kabisa na ya kuigwa. Wahehe walisoma tangu enzi zile. Ila ndio wakishasoma hawarudi kwao wanaogopa kupigwa vipapai. Nawaonea sana huruma. Wavuke sasa kiunzi hicho waanze kuendeleza mkoa wao.
 
Shinyanga: Wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…