Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Wagogo pia wamo.Mkoa wa Iringa awali ulikuwa unakaliwa na wenyeji wa makabila ya wahehe, wabena, wakinga, waanji, wapangwa wakisi na wamanda. Lakini baada ya kugawanywa na kuzaliwa mikoa miwili ya Iringa na Njombe ndipo Iringa imejikuta inabakiwa na kabila la wahehe pekee na yale mengine yote yameangukia mkoa wa Njombe. Sijui busara ipi ilizingatiwa katika mgawanyo huu na sidhani kama kuna mkoa mwingine wenye kabila moja kama upo nielimisheni wadau. Nawasilisha!
Naanza kupata mashaka na kinachofunzwa huko mashuleni siku hizi! Kwa hiyo "busara" ni kuhakikisha kila mkoa una kabila zaidi ya moja? Makabila yanatajwa kwenye sheria ipi na yanasaidiaje kufikisha huduma kwa wananchi? Hivi KARNE HII na NCHI HII kuna watu wanawaza hivi bado?Mkoa wa Iringa awali ulikuwa unakaliwa na wenyeji wa makabila ya wahehe, wabena, wakinga, waanji, wapangwa wakisi na wamanda. Lakini baada ya kugawanywa na kuzaliwa mikoa miwili ya Iringa na Njombe ndipo Iringa imejikuta inabakiwa na kabila la wahehe pekee na yale mengine yote yameangukia mkoa wa Njombe. Sijui busara ipi ilizingatiwa katika mgawanyo huu na sidhani kama kuna mkoa mwingine wenye kabila moja kama upo nielimisheni wadau. Nawasilisha!
(5) Geita - WasukumaMkoa wa (1)Tabora--Wanyamwezi
(2 Simiyu--Wasukuma
(3) Shinyanga--Wasukuma
(4) Rukwa---Wafipa
NdioNaanza kupata mashaka na kinachofunzwa huko mashuleni siku hizi! Kwa hiyo "busara" ni kuhakikisha kila mkoa una kabila zaidi ya moja? Makabila yanatajwa kwenye sheria ipi na yanasaidiaje kufikisha huduma kwa wananchi? Hivi KARNE HII na NCHI HII kuna watu wanawaza hivi bado?
Hivi mkuu umeshawahi kuona kwenye registration mtu kabila kaandika mnyantunzu?!Ahsante mkuu lakini umenikumbusha Wanyantunzu!
WasumbaMkoa wa (1)Tabora--Wanyamwezi
(2 Simiyu--Wasukuma
(3) Shinyanga--Wasukuma
(4) Rukwa---Wafipa
Wanyantuzu wako wapi? UsiwatengeMkoa wa (1)Tabora--Wanyamwezi
(2 Simiyu--Wasukuma
(3) Shinyanga--Wasukuma
(4) Rukwa---Wafipa
mkuu tena siyo kidogo,sasa imagine huyo umepewa umuelezee Archimedes principleWalimu wana kazi kubwa sana...!!!
Vatulekage beh, leke twiyangasule yaan tukwinoma hela.... Sisi ndio mashujaa kwan ni nani asiyemjua mtwa mkwawa kwa hiyo sioni shida tukibaki wenyewe.. Kwa kuwa sisi ndio tulioipigania iringa dhidi ya wakoloni na tulifanikiwa kumchapa mkoloni hadi akarudi kujipanga tena...kwahiyo mkuu una mind au!? ila twivagaya sida nalunoge lweki!
Hahahahaha bruv umenifanya nicheke sanaTeh teh teh teh!
Mkuu kwani mimi ni Mnyalukolo sasa ???
nitag na mmAnhaaa, basi umenifanya nijikumbushue ya wahehe!
Ntaandaa historia fupi halafu ntaiweka hapa J-Pili jioni.
Ntaku-tag mkuu....Ngoja nimalize majukumu mengine kwasasa!
Mimi Mchagga mwenzako nipo Iringa tutafutaneMi mchaga niko iringa
Hakuna Mkoa wa moshi(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.
NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Hahahahaha bruv umenifanya nicheke sana
hujamuelewa rudi usome tenaMimi Mburu nipo Iringa
sawa mkuu weekend andaa na hela ya bia za kutosha nakunywa kilimanjaro bariiidiMimi Mchagga mwenzako nipo Iringa tutafutane