johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Hata Zanzibar wasukuma wapo!Mimi ni msukuma nipo Iringa
Ahsante mkuu lakini umenikumbusha Wanyantunzu!Mkoa wa (1)Tabora--Wanyamwezi
(2 Simiyu--Wasukuma
(3) Shinyanga--Wasukuma
(4) Rukwa---Wafipa
Teh teh teh teh!
Ata kama sio nafikiri unakitu cha kutusaidia tujueTeh teh teh teh!
Mkuu kwani mimi ni Mnyalukolo sasa ???
Anhaaa, basi umenifanya nijikumbushue ya wahehe!Ata kama sio nafikiri unakitu cha kutusaidia tujue
Sawa mkuu tunaisubir kazi njemaAnhaaa, basi umenifanya nijikumbushue ya wahehe!
Ntaandaa historia fupi halafu ntaiweka hapa J-Pili jioni.
Ntaku-tag mkuu....Ngoja nimalize majukumu mengine kwasasa!
Pamoja sana kaka!Sawa mkuu tunaisubir kazi njema
Usisahau kunitag mkuuAnhaaa, basi umenifanya nijikumbushue ya wahehe!
Ntaandaa historia fupi halafu ntaiweka hapa J-Pili jioni.
Ntaku-tag mkuu....Ngoja nimalize majukumu mengine kwasasa!
Mimi ni msukuma nipo Iringa
Mi mchaga niko iringa
Mimi Mburu nipo Iringa