Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kilo shingapi mkuu
Bila picha itakua ni chai ya tangawiziNyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.
Unakuta bar moja imezungukwa na majiko mpaka 8 ya kitimoto, unakula lager, unatafuna mdudu kiroho safi kabisa , ukitaka na ugali au ndizi ni wewe tu.
Moshi, Arusha hawawafikii waHehe kwa kutafuna kitimoto aisee, siyo mbwa tena kama zamani.
Wanaikaanga vyema sana, makachumbari kama yote.
Na hali ya hewa ya Iringa ni kama imechujwa hivyo bia zinatembea tu.
Heko Iringa, watoto wa Mkwawa.
Bila shaka vibanda vya ccm hapo.!Nyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.
Unakuta bar moja imezungukwa na majiko mpaka 8 ya kitimoto, unakula lager, unatafuna mdudu kiroho safi kabisa , ukitaka na ugali au ndizi ni wewe tu.
Moshi, Arusha hawawafikii waHehe kwa kutafuna kitimoto aisee, siyo mbwa tena kama zamani.
Wanaikaanga vyema sana, makachumbari kama yote.
Na hali ya hewa ya Iringa ni kama imechujwa hivyo bia zinatembea tu.
Heko Iringa, watoto wa Mkwawa.
Nyanda za juu kusini iringa niombe mbeya wanakula mbuzi katoliki sana aiseeNyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.
Unakuta bar moja imezungukwa na majiko mpaka 8 ya kitimoto, unakula lager, unatafuna mdudu kiroho safi kabisa , ukitaka na ugali au ndizi ni wewe tu.
Moshi, Arusha hawawafikii waHehe kwa kutafuna kitimoto aisee, siyo mbwa tena kama zamani.
Wanaikaanga vyema sana, makachumbari kama yote.
Na hali ya hewa ya Iringa ni kama imechujwa hivyo bia zinatembea tu.
Heko Iringa, watoto wa Mkwawa.
MadiziniJuzi nilikuwa morogoro maeneo ya kilakala aisee nguruwe analika sana !!!
Tuleni nguruwe kwa wingi jamani KASA anaua
Yakheee vipi.....Usiipe sifa mbaya nyama yetu ya KASA Yakheee.....Juzi nilikuwa morogoro maeneo ya kilakala aisee nguruwe analika sana !!!
Tuleni nguruwe kwa wingi jamani KASA anaua
Wameelimishwa badala ya kula Mbwa wawe wanakula pokoNyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.
Unakuta bar moja imezungukwa na majiko mpaka 8 ya kitimoto, unakula lager, unatafuna mdudu kiroho safi kabisa , ukitaka na ugali au ndizi ni wewe tu.
Moshi, Arusha hawawafikii waHehe kwa kutafuna kitimoto aisee, siyo mbwa tena kama zamani.
Wanaikaanga vyema sana, makachumbari kama yote.
Na hali ya hewa ya Iringa ni kama imechujwa hivyo bia zinatembea tu.
Heko Iringa, watoto wa Mkwawa.
Kulikuwa na bar inaitwa luxury kwa upande wa CCM mkoa hivi bado ipo? Kwa upande wa nyuma highland cinema ndio Kuna mabanda ya kitimoto hatari hapo.Nyama ya nguruwe aka Kitimoto inauzika na kuliwa Iringa mjini sijawahi kuona. Karibu na ofisi ya CCM Mkoa kuna mabanda mengi sana zaidi ya 100 yanauza na kukaanga nyama ya kitimoto kila siku kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane, na nyama inaisha aisee.