Iringa-mby highway

julisa

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
209
49
Kwann mkandarasi wa njia ya iringa-mbeya haweki diversions na anazuia magari kupita..hii inachelewesha sana wasafiri. Mbona njia zingine km ya segera-moshi kuna diversions?

Nashauri TANROADS waliangalie suala hili kwani baada ya kuruhusiwa mabasi yanakua yanashindana sana..
 
Back
Top Bottom