Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

Iringa maeneo mengi kuanza na herufi I kuna nini?

daaaah,,,,idofi,ikonongo,igagidungu,isman...umenikumbusha home mkuu...iringa moja
 
Mwanza (na maeneo yao ya zamani kabla ya mkoa kugawanywa) wao wana

Bu-
Bugando
Buhongwa
Buswelu
Buselesele
Bukumbi,
Bugarika
Bukelebe
n.k
 
Morogoro nayo haipo nyuma

Mlimba,matombo, malinyi, mikese, makunganya, mizambaraumi, mikogo, mindu, mikumi
 
Mtwara-masasi
Chi-
Chigugu
Chikundi
Chiwale
Chidya
Chikukwe
Chikunja
Chiwisi
Chipole
Chipunda
Chitoholi
 
DODOMA

chisichili
chidachi
chihanga
chinangali
chinyoya
chamwino
changombe
n.k

kunani
 
Ikokoto
Hivi watu wa Iringa kwanini maeneo yetu mengi mkoani kwetu yana majina yanayoanzia na herufi I!? Mfano Iringa yenyewe, Ilembula, Ipogoro, Igumbilo, Ifunda, Ilula, Isupilo, Itengulinyi, Ipamba, Imalutwa, Isimani, Image, Idete, Ilole, Imalinyi Ihomasa, Ikungwe, Igunga, Ihaami, Ihemi, Igula, Idodi, Izazi,Ihimbo,Itimbo,Itamba,Igingilanyi,Ilamba,Igeleke,Ifwagi,Ikonongo, Ikongosi, Ihanu,Ikanga,Ihefu,Ibwanzi,Ihalimba,Ilogombe,Ihazutwa,Idenyimembe,Igomba,Itengure,Isimkinyi,Itengero,Iyayi,Ikurimambo,na mengine meeeengi.,nipe jibu kama huelewi tuma huu ujumbe kwa mwana Iringa mwenzio mpaka kieleweke.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Isele
1642791585206.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom