Iringa imemchoka Msigwa!

Naonanajifariji
Mara sjui mjapan kasifia - - - -
Wewe naye unadai uko iringa sahv
Kesho utasema uko ruangwa
Keshokutwa utasema uko katavi

Ova
 
Kama utakosa bwana mwaka huu andika huna bahati, huu mwaka niwako lazima uolewe.. Mwanamke unaongea Kama umewekwa betri mpya
 
Upo Iringa ya wapi Mkuu?Labda kama kuna Iringa nyingine .ukweli utakuweka huru
 
Akauze tu hiyo mitumba malipo ni hapahapa duniani, mlitushindisha juani Mwembeyanga mkituaminisha na orodha yenu ya ufisadi lakini baadae mkatubadilishia gia angani na kuanza kuwasafisha mafisadi walewale mliotuaminisha mwanzo.
 
Hujui kitu kuhusu Iringa, endeleeni kusajili wasenge mkiamini kuwa wataleta mvuto kwenye chama lenu la kishetàni.
 
Leo nilikuwa naongea na mfanya Biashara mmoja akasema kuwa ccm kumdondosha msigwa Iringa Labda wamweke agombee na Asas sababu kila LeoAsas anagawa hela sana kwa watu.
 
Leo nilikuwa naongea na mfanya Biashara mmoja akasema kuwa ccm kumdondosha msigwa Iringa Labda wamweke agombee na Asas sababu kila LeoAsas anagawa hela sana kwa watu.
Asas kugawa hela hajaanza leo....CCM walimfuata wenyewe enzi za akina Kwilasa na kumuomba awe kiongozi.
Salimu ni mtu mtulivu sana ila alikuwa na kaka zake wawili enzi zile tukiwa O level Munif na Naif dah wale walikuwa wakorofi sana.

Kitakachomponya Msigwa ni endapo CCM itajichanganya na kumuweka Rita Kabati Motto kuwa mgombea ubunge Iringa mjini.......vinginevyo hata akiletwa Chalamila yule RC wa Mbeya Msigwa anapigwa chini.
 
Kwa jinsi akwlina alivyouliwa na polisi uchaguzi wa kinondoni basi mtachukua majimbo yote kwa mtutu wa bunduki
 
Iringa siyo nyepesi kihivyo Mkuu. Hawa wanyalukolo huwa hawataki mambo ya mchezo mchezo.wakiamua kitu unaweza kudhani wapo pamoja nawe kumbe wenzio wapo kwingine.Wenzako hili wanalitambua ndo maana wanafanya jitihada Kubwa sana kutumia polisi,na hata sasa wamemwagwa polisi wengi kwaajili ya uchaguzi,tena wwngi toka kanda ya ziwa.
 
Hakuna uchaguzi uliowahi kukosa rundo la polisi Iringa kuanzia enzi za chama kimoja!
 
Eti watamuweka chalamila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…