IRINGA ilitekwa na shamrashamra za CHADEMA jana picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IRINGA ilitekwa na shamrashamra za CHADEMA jana picha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mnyikungu, Oct 31, 2010.

 1. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,445
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  wandugu jana iringa ilitawaliwa na maandamano makubwa ya chadema, mji mzima ulijaa furaha huku watu wakiimba mafisa hatuwataki na kuwaacha wafuasi wa ccm hoi.picha kutoka francis godwin.blogspot.com
   

  Attached Files:

 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Inasisimua kweli kwali, wasije kuharibu kura kwa kuzidiwa na furaha
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hata Moshi Chadema walihitimisha kwa shamrashamra kambambe. Wakati CCM wakiwa kama watu wasiozidi 40;
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wanyalu mwaka huu hawataki zege lilale.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  mjengwa hawezi kuandika haya
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mwamko kwa Vijana ni mkubwa sana na hata vituoni asubuhi vijana walikuwa wamejaa saana. safari hii mabadiliko lazima
   
 7. L

  Lusambara Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila kona watu ambao tayari wamemaliza kutoa hukumu wanaonyesha kuwa na matumaini makubwa ya CHADEMA kuibuka na ushindi wa kishindo, Nami nimepiga kura yangu, na nimepita maeneo ya Soko Kuu na hata barabarani, hakuna watu wengi kama ilivyo kawaida na maduka mengi yamefungwa bado.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sasa hao FFU kwenye picha walikuwa wanataka kummwagia nani pilipili?
   
Loading...