Mtanga wa Ze Comedy na Tausi Yule Sister "TALL"?kuwemo Mtanga na Tausi
Ndio ukikutwa wateja na wahudumu mnalala seloKwani kunywa hadi saa sita inakatazwa?
Duuh...nilikuwa sijui!Ndio ukikutwa wateja na wahudumu mnalala selo
😛😛😛😛 Polisi siunajua wana allergy na wajeda hawawezi kutimba hapoDuuh...nilikuwa sijui!
Kule msasani club kwa wajeda tunakeshaga na Christian Bella sijawahi ona tunakamatwa!
Ooooh kumbe! Basi kumbe kule ndo pakulia bata😛😛😛😛 Polisi siunajua wana allergy na wajeda hawawezi kutimba hapo
Hata kule kausika maana yeye sindo mkuu wa wakuu wa mikoa yote TZIngekua Dar angesingiziwa Makonda ameamuru wawekwe ndani
Acha bia iitwe bia bna soda ukinywa mbili unaikojoa baada ya masaa6 ila bia ni ndani ya nusu saa tuKama walikuwa wanakunywa soda ni halali kuwekwa ndani ila kama walikuwa wanakunywa bia wameonewa walipa kod wanao jituma
Acha bia iitwe bia bna soda ukinywa mbili unaikojoa baada ya masaa6 ila bia ni ndani ya nusu saa tu
Du afadhali nimeacha kunywa pombe. Tanzania ni unfriendly kwa walevi.
Uamuzi tuTafadhali usiniambie hata ulifanyaje ukaacha pombe maana naogopa nitajaribu alafu nikatengana na kipenzi changu bure [emoji481]
Ulifanya uamuzi wa busara sana!Du afadhali nimeacha kunywa pombe. Tanzania ni unfriendly kwa walevi.