SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
SIJUI NIMEPOTEZA AU LAAH,PO
Tatizo ni kada niliyonayo sasa inanizingua,ila nashukuru hata nimepata chuo maana vimarks vyangu vilikuwa vinaniumiza kichwa
inaonesha hujiamini, msomi hapaswi kua hivyo, hiyo kozi ni nzuri. Kasome kijana! Kila kada ina umuhimi wake katika ujenzi wa taifa. Alaf swala lengine, hiyo kozi unajifunza maswala ya enviromental na development planning. So kuna advantage mbili. Karibu irdp.[/QUOTE
Tatizo ni kada niliyonayo sasa inanizingua,ila nashukuru hata nimepata chuo maana vimarks vyangu vilikuwa vinaniumiza kichwa
Tutakutana IRDP my nami naenda huko
Hongeraa unaenda kozi gani?
safi sana kuwapata wadau wa mipango,sasa vip tunaenda lini na hizo join tunaziptajepataje,tusaidiane wadau