aisee we nyoka, sijui kwanini umechagua jina hili baya la shetani serpent, well, waarabu njaa inawauwa, ndo maana hawawezi kunywa mafuta, wanahitaji pesa ili kuishi, wanaishi jangwani hawalimi, unataka wasitishe kuuza mafuta kwa marekani halafu wale nini? marekani yenyewe ina mafuta kibao kule nchini kwao lakini hawataki kuchimba kwasasa, wanataka wamalize kwanza haya ya waarabu halafu ndo waanze yao, pia, kama wakisitisha mafuta ndo hapo marekani watafanya exploration nchi zingine ili kugundua mafuta sehemu zingine kitu kitakachowaua kabisa waarabu...hebu fikiria kama nchi zote za africa zingekuwa na mafuta mengi kama nigeria, soko la waarabu lingeyumba wangetakuwa wahamiaji haram huku kwetu,
marekani inaipa misri karibia bilioni tatu na nusu dola kila mwaka, na misri haina ujanja, ndo walioweka bomba la mafuta toka misri hadi israel....watafanya nini maskini mafarao...hahaha.
canada, na nchi zingine zimegundua mafuta mengi sana na zitaanza kuchimba muda si mrefu, pia kumbuka lile bara baridi la antactica, kuna mafuta ya ajabu na watu wanasubiria tu barafu iyeyuke kwa hii global warming wachime mafuta...
pia, kama mafuta ya waarabu hayatauzwa nchi ya marekani etc, ndo itakuwa vizuri ili wagundue mitambo na machine zisizotumia mafuta, magari ya maji, magari ya ges kama nchi zingine zilivyo sasa etc, na waarabu watakunywa mafuta...cha kukuelewesha ni kwamba, waarabu walishajua muda mrefu kuwa wakijaribu kufanya ivo ndo itakuwa mwisho wa maisha yao, watahatarisha soko lao la mafuta..hivyo hawana jinsi ila kulamba viatu vya wazungu tu, na hii itadumu milele. ISRAEL JUUU, JUUU JUU KABISAA.