Kwa hiyo mkuu --umewaamini ''"sio kwamba wameamua kufikia huo uamuzi baada ya kuuona moto wa Iran kuwa hauzimiki. ..Halafu mbona kule Venezuela wamekimbia '? Haha
Na Venezuela nako walikotaka kuweka kibaraka chao waliogopa moto wa Venezuela au walimuhofia Putin baada ya kutia mguu Venezuela!? Tafakari kwa kina.
So -unadhani Putin ataacha kuwapa Iran support?
Hiyo drone iliingia anga ya Iran!!
Hata ingeingia Tanzania tu ,Tanzania ilikuwa na mamlaka ya kuitungua
Kuna US marine zimepaki kwenye Maji ya kimataifa karibu kabisa na Iran' hapo ndio kuna shughuli Iran anabaki roho juu
Hizo drone zinaenda Iran kila uchao kupiga Picha matukio hiyo ni ajali kazini tu mkuu
Pia kumbuka lengo kuu la USA Kule Iran ni kufanya biashara anamchezesha naye anacheza mziki
drone zipo aina nying hata dar es salaam wanatengenez ** ila ni ndogo na ni za kazi ndogo kama kuchukua camera** n.k **Kumbe drone ni kubwa hivyo nikajua ndo ndogo kiasi cha kua na upana wa mita 1 tuu...duuh
Hizi ndoto unazoota zisikupofushe macho kwa kuwa una mahaba na USA ukweli ni kuwa Iran ameshindikana dhidi ya USA na kibaraka wake IsraelHiyo drone iliingia anga ya Iran!!
Hata ingeingia Tanzania tu ,Tanzania ilikuwa na mamlaka ya kuitungua
Kuna US marine zimepaki kwenye Maji ya kimataifa karibu kabisa na Iran' hapo ndio kuna shughuli Iran anabaki roho juu
Hizo drone zinaenda Iran kila uchao kupiga Picha matukio hiyo ni ajali kazini tu mkuu
Pia kumbuka lengo kuu la USA Kule Iran ni kufanya biashara anamchezesha naye anacheza mziki
Nimekuuliza swali mkuu,au hukuiona question mark? ulitakiwa kunijibu tu na sio kugeuka mzungu ghafla kwa kuanza kuongea lugha ya mkoloni.😀😀Show me the line where I wrote anything about kutamani.
Jipe moyoHiyo drone iliingia anga ya Iran!!