Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,574
- 38,169
Ukitaka Kuyapata Maendeleo Lazma Upige HatuaKwa engine yake inavoonekana iko underpowered. Alafu kama inakaa masaa 24 angani mbona ina range fupi sana yaani sana, only 1500km si kiduchu tu. Sema 'wanamuqawanna' wako wamejitahidi
Hlaf Sio kwamba Hii Ndio DRONE Yao Yamwanzo Nawala Sio Kwamba Hii Ndio DRONE Yao Ambayo Ina Enda Masafa Marefu Zaidi Ya Ambazo Zimetengenezwa Be4