Iran yazindua drone

Iran yazindua drone

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Iran yazindua drone mpya yenye uwezo mkubwa wa kivita​

Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua ndege mpya isiyo na rubani (drone) yenye uwezo mkubwa wa kioparesheni na kivita.

Drone hiyo mpya imezinduliwa leo katika mji wa Konarak mkoani Sistan na Baluchestan katika eneo la kusini mashariki mwa Iran.

Sherehe za uzinduzi wa drone hiyo iliyopewa jina la 'Simorgh' imehudhuriwa na Admeli Habibullah Sayyari, Mratibu Mkuu wa Jeshi la Majini la Iran na Admeli Hussein Khanzadi, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Majini la Iran.

Drone ya Simorgh ina uwezo wa kuruka umbali wa kilomita 1500 na kutekeleza oparesheni za kijeshi zikiwemo za mapigano na vita vya kielektroniki.

Aidha drone ya Simorgh inaweza kuruka kwa masaa 24 katika urefu wa mita 25,000.

4bsoe2641a4c501jsyp_800C450.jpeg

Chanzo: ParsToday
 
Kwa engine yake inavoonekana iko underpowered. Alafu kama inakaa masaa 24 angani mbona ina range fupi sana yaani sana, only 1500km si kiduchu tu. Sema 'wanamuqawanna' wako wamejitahidi
 
Kuna mafua yashagharimu maisha ya wairan 80. RIP good people.
Endeleeni kuzindua madrone!
Bora Mafua Nimagonjwa Ya Miripuko Ambayo Hata Huko Ulaya Na US Yanatokea

US Kila Siku Watu Wanauana Kwa Silaha zamoto Ndio Kwanza Wakuu Wanapiga Madili

Hayo Mafua Yatapita 2 Kama Yalivyopita Maradhi Namajanga Mengine

Kwanza Hayo Mafua Sio Man Made Kama US Wanavyouana Kwa Silaha

Inaonekana WAIRAN Wakipata Majanga Huna unafurahika Sana Nafsini Mwako Dah

Kama Drones Kila Taifa Liloendelea Wanatengeneza Kwanini kwa IRAN Mnakua Mnateseka Sanaaa !!??...
 
RIP good people.
 
US Kila Siku Wanauana Kwa Silaha Ambazk Zimetengenezwa Na Watu
Kwani kipindupindu kwenu kimeuwa watu wangapi? Je baridi huko Us imeuwa wangapi?
Jamaaa Kaleta Hoja Ambayo Uki Iangalia Kiundani Unaona Kama Hua Wanafurahia Sana Wakisia IRAN Kuna Janga Ama Watu Wameuawa...

Anasahau Kama Janga Linaweza Kutokea Wakat wowote Ule Napopote Pale Katika Taifa

Halaf Sasa Mbaya Zaidi Hayo MAFUA Yameripuka Mda Gani ?!

Mpaka kusema ama kuhisi labda wameshindwa kuyadhibiti

Wajamaa wanateseka sana na maendeleo Ya WAAJEMI
 
Back
Top Bottom