Iran yataka mazungumzo na Marekani

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,908
Pia yataka vikwazo viondolewe.

Screenshot_2020-01-27-10-01-27.jpeg

=====
Iranian FM: Tehran still willing to negotiate with US

Iran is not ruling out negotiations with the United States even after an American drone strike that killed a top Iranian general, the country’s foreign minister said in an interview released Saturday.

Mohammed Javad Zarif told Germany’s Der Spiegel magazine that he would “never rule out the possibility that people will change their approach and recognize the realities,” in an interview conducted Friday in Tehran.

There has been growing tension between Washington and Tehran since in 2018, when President Donald Trump pulled the United States out of the nuclear deal with Iran. The U.S. has since reimposed tough sanctions that have crippled Iran’s economy.

But Zarif suggested Iran was still willing to talk, though reiterated his country’s previous demand that first the U.S. would have to lift sanctions.

“For us, it doesn’t matter who is sitting in the White House, what matters is how they behave,” he said, according to Der Spiegel. “The Trump administration can correct its past, lift the sanctions and come back to the negotiating table. We’re still at the negotiating table. They’re the ones who left.”

In Washington, Trump rejected Zarif’s remarks in a tweet. “Iranian Foreign Minister says Iran wants to negotiate with The United States, but wants sanctions removed,” he tweeted, then added, “No Thanks!”

Meanwhile on Saturday, Ali Asghar Zarean, an aide to Iran’s nuclear chief, said Iran’s enriched uranium stockpile has exceeded 1,200 kilograms (2,646 pounds), which is far beyond the 2015 nuclear deal between Tehran and world powers allowed.

“Iran is increasing its stockpile of the enriched uranium with full speed,” he said. The claim has not been verified by the U.N.’s nuclear watchdog.

Following the U.S. drone strike on Jan. 3 that killed Revolutionary Guard Gen. Qassem Soleimani, Iran announced it would no longer abide by any of the deal’s limitations to its enrichment activities. It then retaliated Jan. 8, launching ballistic missiles at two bases in Iraq housing American troops, causing injuries but no fatalities among soldiers there.

In November, the International Atomic Energy Agency said Iran’s stockpile of low-enriched uranium had grown to 372.3 kilograms (821 pounds) as of Nov. 3. The nuclear deal limited the stockpile to 202.8 kilograms (447 pounds).

Iran has routinely vowed to begin enriching its stockpile of uranium to higher levels closer to weapons grade if world powers fail to negotiate new terms for the nuclear accord following the U.S. decision to withdraw from the agreement and restore crippling sanctions. European countries opposed the U.S. withdrawal and have repeatedly urged Iran to abide by the deal.

Under the agreement, Iran agreed to limit its enrichment of uranium under the watch of U.N. inspectors in exchange for the lifting of sanctions.

Trump has maintained that the 2015 nuclear deal needs to be renegotiated because it didn’t address Iran’s ballistic missile program or its involvement in regional conflicts. The other signatories to the nuclear deal — Germany, France, Britain, China and Russia — have been struggling to keep it alive.

Zarif did suggest Iran was also still prepared for conflict with the U.S., though was not specific.

“The U.S. has inflicted great harm on the Iranian people,” he said. “The day will come when they will have to compensate for that. We have a lot of patience.”

Source: Washington Post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakilishi wa bunge la Kongresi kutoka jimbo la Texas nchini Marekani amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump aliyoyatoa kuhusiana na madhara waliyoyapata askari wa Kimarekani katika shambulio la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Ain Al-Assad na kuyataja kuwa 'mabaya sana.'

Sheila Jackson Lee ameyasema hayo katika ujumbe wake alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kuongeza kuwa, madhara ya ubongo hayafai kufanyiwa mzaha au kuchukuliwa kwa wepesi hivyo. Shambulio la makombora la Iran liliwafanya askari wengi wa Kimarekani kujeruhiwa katika uwanja wa vita lakini matamshi ya Trump kuhusiana na majeraha hayo yalikuwa mabaya na yasiyo ya uwajibikaji. Mwakilishi huyo wa jimbo la Texas katika bunge la Kongresi amefafanua katika ujumbe wake huo kwamba, "Kuficha ukweli wa majeraha" waliyoyapata askari wa Marekani ni kitendo kibaya, kama ambavyo amemtaka rais huyo kuwapongeza askari hao. Wiki iliyopita Trump akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na madhara ya ubongo walioyapata askari wa Kimarekani katika shambulizi la makombora la Iran, alisema: "Nimesikia kwamba wana maumivu ya kichwa na walikuwa na maradhi mengine, niliwaona na majeraha ambayo hayakuwa makubwa."

Hii ni katika hali ambayo wawakilishi wengi nchini Marekani wamemtuhumu rais huyo wa Marekani kwa kuzipotosha fikra za walio wengi kupitia kuficha hali ya majeraha waliyoyapata askari wa Kimarekani nchini Iraq wakati ambao Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imeendelea kutoa taarifa za majeraha ya idadi kubwa ya askari wa nchi hiyo. Katika uwanja huo tarehe 24 ya mwezi huu wizara hiyo ya Ulinzi ya Marekani ilikiri kupitia taarifa yake kwamba: "Hadi sasa askari wengine 34 wa Kimarekani walipatwa na matatizo ya ubongo katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya jeshi la Ain Al-Assad."

Sheila Jackson lee sio ilhan umar huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana utachemsha wewe ila sio waajemi na huu hapa ndio msimamo wao kwa mujibu wa waziri wao wamambo ya nje Turampet Anatafta Kiki wakat waajemi hata habari nae hawana
Hatimaye wamechemsha...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter akimuhutubu Rais Donald Trump wa Marekani kwamba, juhudi za Washington za kufanyika mazungumzo ya pande mbili na Tehran ni ndoto za alinacha.

Katika ujumbe huo Zarif amesisitiza kuwa, njia pekee ya kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani ni kupitia kundi la 5+1 na Washington kurejea katika hali ya kabla ya mwaka 2017. Ujumbe wa Mohammad Javad Zarif umekuja baada ya Rais Donald Trump kuandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti imejiandaa kufanya mazungumzo na Marekani kwa sharti la kuondolewa vikwazo na Washington. Katika ujumbe huo Trump aliandika madai ya kuchekesha kwamba 'Washington haipo tayari kukubali sharti hilo.'

[https://media]Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif.

Katika miezi ya hivi karibuni na viongozi wa Marekani akiwemo Trump wamenukuliwa wakitaka kufanya mazungumzo na Iran. Watawala wa Marekani mara kwa mara wamekuwa wakizungumzia suala la kufanya mazungumzo na Iran katika hali ambayo mwaka 2018 Washington ilijiondoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa baada ya juhudi za miaka mingi kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1. Baada ya hatua hiyo Marekani ilianza kutekeleza tena vikwazo dhidi ya Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IRAN Haijawahi Kutaka Kuekewa Vikwazo Toka Dunia Iumbwe Ila Haijawahi Kuomba Mazungumzo Na US Kama US Wanataka Mazungumzo Waitane Wakazungumze Wenyewe Ila Sio Na IRAN

Haya Hapa Maneno Ya Javad ZarrifTurampet Anatafta Kiki Kupitia Taifa La Kiajemi La Kiislam La IRAN

Vikwazo Anaeka Yeye Halaf Anatafta Kiki
Pia yataka vikwazo viondolewe.View attachment 1336603

Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter akimuhutubu Rais Donald Trump wa Marekani kwamba, juhudi za Washington za kufanyika mazungumzo ya pande mbili na Tehran ni ndoto za alinacha.

Katika ujumbe huo Zarif amesisitiza kuwa, njia pekee ya kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani ni kupitia kundi la 5+1 na Washington kurejea katika hali ya kabla ya mwaka 2017. Ujumbe wa Mohammad Javad Zarif umekuja baada ya Rais Donald Trump kuandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter na kudai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti imejiandaa kufanya mazungumzo na Marekani kwa sharti la kuondolewa vikwazo na Washington. Katika ujumbe huo Trump aliandika madai ya kuchekesha kwamba 'Washington haipo tayari kukubali sharti hilo.'

[https://media]Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif.

Katika miezi ya hivi karibuni na viongozi wa Marekani akiwemo Trump wamenukuliwa wakitaka kufanya mazungumzo na Iran. Watawala wa Marekani mara kwa mara wamekuwa wakizungumzia suala la kufanya mazungumzo na Iran katika hali ambayo mwaka 2018 Washington ilijiondoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ambayo yalifikiwa baada ya juhudi za miaka mingi kati ya Iran na nchi za kundi la 5+1. Baada ya hatua hiyo Marekani ilianza kutekeleza tena vikwazo dhidi ya Iran.

IRAN = Middle East SUPER POWER...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakilishi wa bunge la Kongresi kutoka jimbo la Texas nchini Marekani amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump aliyoyatoa kuhusiana na madhara waliyoyapata askari wa Kimarekani katika shambulio la makombora la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Ain Al-Assad na kuyataja kuwa 'mabaya sana.'

Sheila Jackson Lee ameyasema hayo katika ujumbe wake alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter na kuongeza kuwa, madhara ya ubongo hayafai kufanyiwa mzaha au kuchukuliwa kwa wepesi hivyo. Shambulio la makombora la Iran liliwafanya askari wengi wa Kimarekani kujeruhiwa katika uwanja wa vita lakini matamshi ya Trump kuhusiana na majeraha hayo yalikuwa mabaya na yasiyo ya uwajibikaji. Mwakilishi huyo wa jimbo la Texas katika bunge la Kongresi amefafanua katika ujumbe wake huo kwamba, "Kuficha ukweli wa majeraha" waliyoyapata askari wa Marekani ni kitendo kibaya, kama ambavyo amemtaka rais huyo kuwapongeza askari hao. Wiki iliyopita Trump akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na madhara ya ubongo walioyapata askari wa Kimarekani katika shambulizi la makombora la Iran, alisema: "Nimesikia kwamba wana maumivu ya kichwa na walikuwa na maradhi mengine, niliwaona na majeraha ambayo hayakuwa makubwa."

Hii ni katika hali ambayo wawakilishi wengi nchini Marekani wamemtuhumu rais huyo wa Marekani kwa kuzipotosha fikra za walio wengi kupitia kuficha hali ya majeraha waliyoyapata askari wa Kimarekani nchini Iraq wakati ambao Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imeendelea kutoa taarifa za majeraha ya idadi kubwa ya askari wa nchi hiyo. Katika uwanja huo tarehe 24 ya mwezi huu wizara hiyo ya Ulinzi ya Marekani ilikiri kupitia taarifa yake kwamba: "Hadi sasa askari wengine 34 wa Kimarekani walipatwa na matatizo ya ubongo katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya jeshi la Ain Al-Assad."

Sheila Jackson lee sio ilhan umar huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliosema huyu jamaa ni chizi wala hawakukosea kabisa.
Screenshot_2020-01-06-15-15-10-1.jpeg

dodge
 
Back
Top Bottom