Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 16,637
- 31,135
Condition zote matokeo yake ni vikwazo au vita , sasa kwa vita hakuna kilichobaki ni vikwazo sasa atoe vikwazo ndio watu wakae mezani upyaKwani hujaskia hizo condition? Kama mtu amedevelop hadi anaweza kukupiga kwa vikwazo basi huyo mtu sio wa kucheza nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Condition zote matokeo yake ni vikwazo au vita , sasa kwa vita hakuna kilichobaki ni vikwazo sasa atoe vikwazo ndio watu wakae mezani upya
Ile zawadi ya Xmass iliishia wapi?Both teams Scored...na walitoa over...sasa twasubiri sie team North Korea.
Vikwazo jau , washirika ndio tatizo