Iran yashambulia kambi za Marekani kwa Ballistic Missiles 12 wanazosema zinatumiwa na Mossad nchini Iraq

Wewe lione hivyo kama dangaji lakini hata kwa maisha yako haya ya kila siku kwa nchi zetu hizi, kuna watu maisha yao kuendelea kuishi yanawategemea wao.hasa kwenye sekta ya Afya
Hizi ni pande mbili ndugu.
 
Acha uongo wako na uzambiki. Wewe unaangalia israel ya sasa soma history ya middle east. Watu tunafahamu ukweli hata hao Palestine ukweli wanaujuA
Kwani kati ya Israel na Palestine ni nchi gani ilitangulia kuanza?
Unajua kwa taifa la USA hauwezi kuwa rais bila kuwa na chembechembe za Jews?
Unaunganisha dots tu
 
"Tonight’s multiple attacks in Erbil was conducted by missiles, and none of the missiles hit the new US consulate which is still under construction in Erbil, but areas around the compound was hit by the missiles," Mr Ghafuri said.
 
Acha uongo wako na uzambiki. Wewe unaangalia israel ya sasa soma history ya middle east. Watu tunafahamu ukweli hata hao Palestine ukweli wanaujuA
Jibu kwa hoja sio kusema uzandiki, kwanza masuala ya dini kwangu michosho tu, na nimesoma history 3 hiyo middle East crisis imelala
Nazungumzia history ya Israel baada ya 1948 kama taifa lililoanzishwa kwa ung'ang'anizi wa USA na nchi washirika
 
Huyu dini yake ndo tatizo
 
Points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…