serikali ya iran

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Iran yasema imesitisha mashambulizi dhidi ya Israel

    Serikali ya Iran imeamua kusitisha mashambulizi ya makombora mazito dhidi ya Israel na kuaahidi kuanza upya endapo Israel itathubutu kushambulia tena Lebanon BREAKING NEWS. Iran's military command says operations against Israel halted Iran's Khatam al-Anbiya joint military command said on...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba binti wa Khamenei ameuawawa.

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa kutokea kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yaliyoripotiwa kulenga makazi yake. Hata hivyo, maelezo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kisa tu kutokuipenda Marekani au Israel au sababu za kidini, ni sawa kuisapoti serikali ya Iran iliyozima internet na kuua wananchi zaidi ya elf 30?

    Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata kusingiziwa ni raia wa kigeni kutoka Israel na Marekani, wakachukuliwa kama wahaini wa taifa, wakati wale...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa sana Iran, watu 12,000 wauawa; Ayatollah Khamenei aagiza waandamanaji wapigwe risasi za moto!

    At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data. Exiled Prince Reza Pahlavi said he was in direct contact with the Trump administration, calling it a potential...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

    Maandamano dhidi ya gharama kubwa ya maisha nchini Iran yameenea hadi vyuo vikuu kadhaa, huku wanafunzi wakijiunga na wafanyabiashara na wauzaji wa masoko (bazaars), vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Serikali imesema iko tayari kufanya mazungumzo na waandamanaji. Sarafu ya Iran (rial)...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yenyewe imekiri manyuklia yao yalipigwa na kuharibiwa mbaya mno, sasa mnaopinga humu mnatumia nini

    Serikali ya Iran imekubali manyuklia yamesambaratishwa, ila makobaz humu JF yameshupaza na kutokwa mishipa utosini yakipinga kwamba hamna kilichotendeka kwenye hivyo vinu.... Mkibisha sana tutarudi humo na kupiga tena, mjue kilichopo sasa hivi ni ceasefire, ifahamike ceasefire ni kusitisha vita...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanasa na kuwaweka mbaroni wairan.700 kwa kushirikiana na Mossad wakati wa mapigano ya siku 12 na Israel

    Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says By Reuters and ToI Staff Today, 7:30 am Share 1 Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports. Iran has executed a number of...
  12. MICHEWENI 2024

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya ISRAEL/IRAN kusitisha vita hayawezi kumaliza vita kama lengo ni kuuangusha utawala wa Serikali ya Iran

    1. Kuendelea Kuishi = Ushindi Katika vita vinavyolenga kubadilisha utawala, kuendelea kuwepo madarakani ni ushindi. Licha ya kushambuliwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ipo madarakani. Viongozi wa Iran (kama Kiongozi Mkuu na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi - IRGC) bado wapo kazini. Hii...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Iran ilikuwa na malengo ya kulifuta taifa la Israel?

    Inakuaje Serikali ya nchi flani ijipange kuifuta nchi nyingine? Hapa najiuliza sipati jibu. Taifa kutafuta NGUVU za kivita ukiwa na lengo ya kuzitumia sio kujilinda bali kwenda kuliangamiza taifa lingine ambalo liko zaidi 2000 km kutoka hapo ulipo. Mbona Kuna mataifa MENGI ya kiislam tena...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yafunga kiwanda chake cha kutengeneza magari kilichojengwa Syria miaka 20 iliyopita, sababu za kiuchumi na mahusiano mabaya zatajwa

    Wadau hamjamboni nyote? Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20 Syria...
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

    Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran: "The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ujerumani yawataka raia wake wanaoishi Iran kuondoka mara moja huku ikiituhumu serikali ya Iran kwa kuwafanya mateka!

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel: November 1, 2024 Germany urges citizens to leave Iran due to risk of hostage taking By Reuters Today, 1:10 pm BERLIN, Germany — Germany has long had a travel warning for Iran and asked nationals to leave...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Iran: Polisi wa kike amshambulia mwanamke mwenzake kisa kutokuvaa Hijab. Wanawake wengine wajibu mapigo!

    Huko kwenye mtandao wa X kuna video moja fupi inayotembea kwa kasi inayomuonesha mwanamke mmoja aliyetambulika kama Morality Police Officer yaani polisi wa maadili ambaye alikuwa anashambuliwa na wanawake wenzake. Polisi huyo aliripotiwa kumpiga mwanamke mwenzake kwa sababu mwanamke huyo...
Back
Top Bottom