Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili kupambana kwa pamoja dhidi ya Iran, leo Rais wa Iran ameyaomba radhi mataifa jirani.

Iran's president apologizes to neighbors, defies US demands​

Iran's president apologized for attacks on regional countries but kept up criticism of America.
Ombi hilo la msamaha la Iran, inaonekana limepuuzwa na mataifa ya Kiarabu. Yanaendelea na kikao chao.

Wakati huo huo, Trump amesema kuwa leo kutakuwa na mashambulio makali dhidi ya Iran, na ameonya kuwa kutakuwa na vifo:
  • TRUMP VOWS MORE STRIKES: “Today Iran will be hit very hard,” Trump said on social media this morning, adding that “areas and groups of people” in Iran are “under serious consideration for complete destruction and certain death.”
Wakati huo huo Israel ilianzisha mashambulizi makali dhidi ya Iran tangu asubuhi. Taarifa toka Iran zinaeleza kuwa anga lote la Iran limegeuka na kuwa rangi ya orange. Hawaelewi silaha gani zimetumika na kusababisha hali hiyo.

Explosions in Tehran turn the sky orange.​

Multiple explosions were heard in Tehran, with blasts lighting up the sky and turning it orange, according to reports from the Iranian capital.
 
Halafu makobaz huwa hayana akili, yaani Hezbollah walitumia kipindi kibovu sana kuchokonoa Israel, wapo wanapitia kipigo Cha mbwa tena kimya kimya, inasemekana Israel inatumia fursa hii kufanya usafi kama ule walifanya kwa HAMAS
 
1)Hapana waarabu hawana mpango wa kuishambulia Irani

2)Irani haijaomba msamaha Kwa maifa jirani Kwa kuhofia kuishambulia Kwa pamoja

Badara yake ime tangaza kuto shambulia Tena majirani bari nguvu atazielekeza zaidi guba, Israel na USA

isipo kuwa tu kama adui/USA NA ISRAEL atazitumia inchi hizo jirani kuishambulia Irani.

Pia ameomba Radhi Kwa kupiga au kushambulia sehemu nyeti zenye lengo la kumlegeza adui ndani ya inchi hizo majirani

Kwa kifupi mkuu Irani ndiye aliye shikilia usukani kwenye vita hii Israel na USA wanachapika baraa
 
Tupe chanzo cha taarifa yako mkuu
 
Halafu makobaz huwa hayana akili, yaani Hezbollah walitumia kipindi kibovu sana kuchokonoa Israel, wapo wanapitia kipigo Cha mbwa tena kimya kimya, inasemekana Israel inatumia fursa hii kufanya usafi kama ule walifanya kwa HAMAS
Wewe ni shoga mkuu?
 
Back
Top Bottom