Iran yamuonya Trump kwamba itajibu Mashambulizi yatakayotokea

Iran yamuonya Trump kwamba itajibu Mashambulizi yatakayotokea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Iran imeonya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa shambulio lolote la Marekani litalisababisha Tehran kulirejelea shambulio dhidi ya Israel na kambi za kijeshi za Marekani katika eneo hilo kama “malengo halali,” alisema Spika wa Bunge, Mohammad Baqer Qalibaf, mbele ya wabunge.

Vyanzo vya habari vimesema Israel iko katika hali ya tahadhari kubwa kutokana na uwezekano wa uingiliaji wa Marekani kuingilia harakati za maandamano ya kitaifa nchini Iran

1768123764754.png

===========


Iran warned President Donald Trump on Sunday that any U.S. attack would lead to Tehran striking back against Israel and regional U.S. military bases as "legitimate targets", Parliament Speaker Mohammad Baqer Qalibaf told parliament.

Israel is on high alert for the possibility of a U.S. intervention to support a nationwide protest movement in Iran, sources said.

Source: Reuters, The Jerusalem post & The Times of Israel
 
Hawa jamaa wana vichekesho na mikwara sana
 
Kila dalili inaonyesha kwamba utawala wa kiimla wa Iran hauna muda mrefu mamlakani.
 
Back
Top Bottom