Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,737
- 46,266
NDANI TU🇮🇷🇸🇦🔥 Saudi Arabia inasema, haitashiriki katika vita yoyote dhidi ya Iran baada ya Israel-Lebanon kutekeleza makubaliano ya kihistoria ya kusitisha mapigano nchini Marekani.
🚨 Iran inasema, haitashambulia Saudi Arabia, UAE, Qatar na Bahrain ikiwa hakuna mawakala au wanajeshi wa Marekani-Israel.
🚨Saudi Arabia imeifahamisha Marekani na Israeli kwamba haitaruhusu matumizi ya eneo lao au anga zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya Iran.
View: https://x.com/rkmtimes/status/2045364663651840221?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mzee wa UHARO wewe ndiyo mjinga umelishwa Matango-Pori na wafuga midevu na majini wenzako hapo ulipo unabwabwaja ujinga tu.Hawa wajinga wanameza kila uongo wa Magharib.😂
Iran imeshinda.
Nchi hizo za ulaya subiri utaona matokeo hawawezi kukiuka maagizo ya Mkuu wa kaya sana sana mtaendelea kudanganyana tu!!Kuondolewa kwa vikwazo vya Marekani kutaanza.
Ufaransa, Uhispania, Uingereza, Italia, Korea Kusini, Japani, na India ziko tayari kuanza biashara na Iran mara moja.
Mzee wa UHARO soma hii.Mzee wa UHARO wewe ndiyo mjinga umelishwa Matango-Pori na wafuga midevu na majini wenzako hapo ulipo unabwabwaja ujinga tu.
Ni kweli kabisa iran hawezi kushinda hii vita bali Atashinda njaa tu
Nchi hizo za ulaya subiri utaona matokeo hawawezi kukiuka maagizo ya Mkuu wa kaya sana sana mtaendelea kudanganyana tu!!
Ni ajabu Mwislamu ajue mimi Mkristo siujui Ukristo hiyo itakuwa ajabu sana!!
Wakiziba kwa mbele Marekani nao watawaziba kwa nyuma hapo ndipo mtajua kutumbua si maandazi. Safari hii lazima mtanyooka tu!!Mzee wa UHARO soma hii.
Jeshi la Iran limetangaza kurejea tena kudhibiti kikamilifu mlango bahari wa Hormuz, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Hatua hiyo inaashiria kurejea kwa hali ya awali ya usimamizi mkali wa njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani.
Taarifa zilizoripotiwa na Fars News Agency, iliyo karibu na Jeshi la mapinduzi la Iran (IRGC) pamoja na vyombo vingine vya ndani, zimenukuu kauli ya jeshi hilo zikisema kuwa njia hiyo “itarejea katika hali yake ya awali,” huku vikosi vya kijeshi vikisimamia eneo lote.
Kabla ya tangazo hilo, baadhi ya meli zilionekana kupita katika njia hiyo ya kimkakati, ingawa bado haijulikani ni kwa kiwango gani usafiri wa baharini uliweza kuendelea katika hali ya kawaida.
Katika taarifa hiyo, jeshi la Iran pia liliishutumu Marekani kwa “uharamia,” likidai kuwa kile kinachoitwa zuio la Marekani dhidi ya bandari zake ni sawa na wizi wa baharini. Iran ilikuwa tayari imeonya kuwa itafunga njia hiyo ikiwa Marekani ingeendelea na hatua zake za kuzuia shughuli za bandari zake.
Mzee wa Uha ro chukuwa hii.Ni ajabu Mwislamu ajue mimi Mkristo siujui Ukristo hiyo itakuwa ajabu sana!!
Waislamu hata siku moja hamuwezi kuwa pamoja sababu ninyi ni WANAFIKI wakubwa hamfai kabisa mmeisababisha dunia yetu isiwe salama sehemu pa kuishi kwa sababu yenu!!
Mzee wa Uharo hujui hata unachokitetea.Wakiziba kwa mbele Marekani nao watawaziba kwa nyuma hapo ndipo mtajua kutumbua si maandazi. Safari hii lazima mtanyooka tu!!
Mzee wa Uha ro chukuwa hii.
BREAKING: Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran, Reza Talaei, anasema vita na Marekani havijaisha na anaonya kwamba Iran itajibu "udanganyifu wowote katika diplomasia", akiongeza kuwa kufungua mlangobahari wa Hormuz kwa meli zisizo za kijeshi kuna masharti ya kusitisha mapigano nchini Lebanon.
View: https://x.com/ajenews/status/2045400014600724742?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Iran kwenyewe mpaka sasa hivi hakuna kiongozi kila mtu ni msemaji!!Mzee wa Uharo hujui hata unachokitetea.
🇮🇷🇺🇸 Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz:
Iran itaendelea kudhibiti na kufuatilia Mlango-Bahari hadi vita vitakapomalizika kikamilifu.
Meli lazima zitoe taarifa kamili na zipate kibali kulingana na kanuni za Iran.
Kupita kutazingatia mahitaji na gharama za usalama, usalama, na ulinzi wa mazingira.
Jaribio lolote la usumbufu au vizuizi litachukuliwa kama ukiukaji wa kusitisha mapigano.
Iran itazuia hata kufunguliwa tena kwa muda mfupi ikiwa adui ataendelea na vitendo vya uadui vya baharini.