IRAN: Wanajeshi 25 wauawa baada ya gwaride kushambuliwa

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Wanagambo waliokuwa wamevalia sare za kijeshi wamelishambulia kwa risasi gwaride la jeshi nchini Iran na kuwaua askari wapatao 25.

Ni shambulio baya zaidi kutokea nchini humo katika kipindi cha muongo mmoja.

Watu wengine 60 wamejeruhiwa. Kundi la Waarabu walio wachahche nchini humo wanaotaka kujitenga limedai kuhusika na shambulio hilo.

Kundi hilo linajulikana zaidi kwa kufanya mashambulizi nyakati za usiku hususan kuyalenga mabomba ya mafuta yasiolindwa lilifanya mashambulio hayo hapo jana. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amezilaumu nchi za Ghuba na mshirika wao Marekani kwa kulifadhili na kulipa silaha kundi hilo linalotaka kujitenga.

Zarif ametoa onyo kali na kusema kwamba Iran italipiza kujibu mashambulio hayo na pia katika hatua za kuwalinda raia wake.

Mvutano wa kikanda bado umepamba moto hasa baada ya Marekani kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa na Ireana na kisha kuamua kuiwekea tena vikwazo nchi hiyo.
IMG_20180923_080457.jpeg
 
and who is behind the attack if not mmarekani na jamaa yake anaye itwa "taifa teule" Na mwafrika ambaye yeye mwenyewe hajijui kama ni taifa teule au teuliwa na wala haijui historia yake vyema!
 
Israel hawashambulii kijinga mambo ambayo hayana madhara kwao.Kama wangeshambulia vinu vya nyuklia hapo ningekuunga mkono.Israel hawana sababu kushambulia hilo Gwaride!
 
unadhani sababu ni ipi
 
Marekn hana tofauti na muongo ukimpa mgongo anakupiga akiwa na ww anakuwa rafiki
 
Wanagambo waliokuwa wamevalia sare za kijeshi wamelishambulia kwa risasi gwaride la jeshi nchini Iran na kuwaua askari wapatao 25.

Ni shambulio baya zaidi kutokea nchini humo katika kipindi cha muongo mmoja.

Watu wengine 60 wamejeruhiwa. Kundi la Waarabu walio wachahche nchini humo wanaotaka kujitenga limedai kuhusika na shambulio hilo.

Kundi hilo linajulikana zaidi kwa kufanya mashambulizi nyakati za usiku hususan kuyalenga mabomba ya mafuta yasiolindwa lilifanya mashambulio hayo hapo jana. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amezilaumu nchi za Ghuba na mshirika wao Marekani kwa kulifadhili na kulipa silaha kundi hilo linalotaka kujitenga.

Zarif ametoa onyo kali na kusema kwamba Iran italipiza kujibu mashambulio hayo na pia katika hatua za kuwalinda raia wake.

Mvutano wa kikanda bado umepamba moto hasa baada ya Marekani kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa na Ireana na kisha kuamua kuiwekea tena vikwazo nchi hiyo.View attachment 875022
Duuuu!! Hii Kali.
 
and who is behind the attack if not mmarekani na jamaa yake anaye itwa "taifa teule" Na mwafrika ambaye yeye mwenyewe hajijui kama ni taifa teule au teuliwa na wala haijui historia yake vyema!
Nahitaji elimu kidogo kuhusiana na muafrika kuwa mwanataifa teule asiyejitambua, nitashukuru sana.
 
Back
Top Bottom