Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,432
Mmarekani ni unafiki tu
Nalog off
Nalog off
HakikaUkiwekeana visa na mmarekani basi ujue lazima utapata tabu sana.
Sasa hivi mrusi na mchina wanamthibiti vizuri sana walahi!Ukiwekeana visa na mmarekani basi ujue lazima utapata tabu sana.
Kwa ushahidi gani?? Watu wagongane kwa sababu zao,kesi apewe mmarekani...na kuzama kwa mv nyerere mtasema mmarekani...and who is behind the attack if not mmarekani na jamaa yake anaye itwa "taifa teule" Na mwafrika ambaye yeye mwenyewe hajijui kama ni taifa teule au teuliwa na wala haijui historia yake vyema!
Watanzarusi banaa, asa mrusi na mchina wanauwezo gani wa kumdhibiti mmarekani ushawahi kusikia russia au china wamemwekea sanctions mmarekani?Sasa hivi mrusi na mchina wanamthibiti vizuri sana walahi!
Ingekuwa zamani Iran ingeshafutiliwa mbali lakini mrusi na mchina wamewekeza sana kwenye hiyo nchi walahi!
TAMAA ZA KUDANGANYWA NA MAREKANI NI LAANA KUBWA WALAHI!
Pathetic DNA walahi
heshima kwako mkuu. Naona umeweka avatar picha nyingine.Iran jibu mapigo mwanawane
Nalog off
Kwako nawe mkuu,nimeamua nitoke hivi mwaka huu Wa 2018heshima kwako mkuu. Naona umeweka avatar picha nyingine.
Silog off
Du kweli kifo ni hatari!wapiga matarumbeta wa jeshi wameamua kujificha kwenye mifereji ya maji machafu.
Weka chanzo cha habari yako ndugu
Nimejaribu kuangalia sikuona kama ilipostiwa huku.Hii habari ishatoka zamani