Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,105
Ukiondoa Iran inachokifanya sasa hivi,kushambulia Israel kupitia proxy,huko Syria&Lebanon,Israel na US hawana uhasama wa kushambuliana moja kwa moja na Iran.Iran inapambana vita vya moja kwa moja na Saudi Arabia ,huko Yemeni.Vikosi vya Iran,Republican Guard ,vinapambana bega kwa bega na wanamgambo wa kihuthi,ambao wamekuwa wakivurumusha makombora nchini Saudi Arabia.Huenda Saudi Arabia wanahusika hapo.Ni vigumu Iran kutambua kashambuliwa nani manake anao maadui wengi.