Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,392
- 9,760
Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30 alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah.
Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote, sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata.
Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.