Iran wachagua Ibrahim Raisi ambaye ameshaua watu elfu 30

Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.
unateseka ukiwa huko Uyahudi ISRAEL ama ukiwa uyahudini BARIADI

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Huyo muuaji si kachaguliwa na Ayatollah hajachaguliwa na wananchi wa Iran. Sawa na Magufuli alivyotubambikia wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, madiwani, wabunge hadi yeye mwenyewe kuwa rais.

Iran ingekuwa nchi ya kidemokrasia huyo "Teheran Butcher" asingepata hiyo fursa. Huyo jamaa ndio wale wanaoifanya Iran kuwa miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza kwa kunyonga watu duniani kando ya China na Saudi Arabia.
unateseka ukiwa wapi nendeni mukantoe au waagizeni Wuu es ei wakamtoe

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Habari nilizopata punde huyu jamaa kaandaliwa na Ayatollah na wote waliokuwa na nguvu za kuchaguliwa kwa haki na raia walitishwa na kuambiwa wajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uraisi hadi mmoja alijitoa siku mbili kabla ya uchaguzi.. na siri kubwa uchaguzi kura zimechezeshwa kama Jiwe alivyokuwa anafanya.. Naona Ayatollah kamchagua Butcher of Teheran sababu anatekeleza kila kitu hadi kutoa roho
nenda kamtoe ukae ww

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Mtu mbaya anapimwa kwa kuwekewa vikwazo na marekani? Kama jina lake chafu ndani ya iran, waliomchagua ni kina nani... Naomba nieleweshwe hapo kitu gani kimetokea mkuu
mkuu naona uko na uelewa mdogo sana tena sana, sijui tatizo ni ukosefu wa elimu au nini? kama unajua kile mleta mada ameadika hungeuliza maswali ya kijinga kaa hii umeuliza
 
Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.
Rais wa Irani wewe anakuhusu nini?
Ndio nyie kila siku munalia nyau kuhusu ajira.
 
Back
Top Bottom