Iran vs. US military capabilities

Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
Wale wa Gadafiy au Sadam Hussein?
 

Kuhusu Syria, kuna mkono wa Russia upande wa Assad.

Kwa US kuwepo Afghan haina uhusiano wa kusema labda itakua hivyo kwa Mission yao dhidi ya Iran.

Kuuangusha utawala wa Iran, ni jambo rahisi zaidi. Kwasababu vita itakua ime base kwenye confrontations warfare. Silaha zote zinazohitajika zitawekezwa hapo kwa utekelezaji huo.
 
kwani we unavyojua watu wanapigana vita bila sababu.
 
kwani we unavyojua watu wanapigana vita bila sababu.
If War is Priority. Then must be a stupid priority. The best reason for a war, is in order to end Human suffering. I would prefer World War II, Yugoslavia War againt Slobodan Milosevic, Kagera War as examples.

Kuishi ni Haki ya msingi ya Mwanadamu
Ile migration ya Waarabu kukimbilia ulaya haikua indicator nzuri. Hizi ni damu, na ni roho za watu.
Wangetamani maisha mazuri kama Tanzania ambako hakuna Vita.
Some people use God as a puppet in order to justify War, and that common in arab world.
 
Ingekua rahisi sasa hv IRAN Ingelikua Ishashuhudia REGIME CHNGE Zamani Sanaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua rahisi sasa hv IRAN Ingelikua Ishashuhudia REGIME CHNGE Zamani Sanaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijui uelewa wako kuhusu Vita una viwango gani lakini nitajaribu kukueleza kwa kadri niwezavyo.
Maana ushabiki umekua mkubwa humu.

Moja ya Sifa alizokua nazo Suleimani ni Uweledi alipokua akipiga na IS. Lakini Tuhuma anazo laumiwa ni ukatili anaouonyesha pale mbinu zake za ueledi wa kivita, zinapokutana na hali fulani ya kukwama au kurudishwa nyuma (Drawback) na mahsimu wake, alikua ana apply Brutality tactics, ili asonge mbele. Na ndivyo alivyofanikiwa. Kwahiyo Uhalifu wa kivita kaufanya sana.

Like wise Kwa hali ilivyo, Iran imejidhatiti kutumia all brutality tacticts they have at their disposal, in order to harm his enemy. Ikiwemo mipango ya kushambulia nchi zisizopigana naye. Na kuharibu miji hiyo kama Dubai, UAE, Saudi, Israel, na nchi ambazo US ameweka kambi zao.

Kwahiyo ili US aweze kummudu atatakiwa na yeye akiuke Utaalamu wake alionao na atumie nguvu kubwa ambayo itapelekea maafa makubwa ys waIran ili kumshinda.

Kama vile kutumia Nuclear au bomu lolote litakalo supress uwezo wa Iran kuendelea na vita. Nje ya hapo Vita hiyo inakua vigumu.

Kwasababu Iran ni kama Suicide fighter ambaye hana cha kupoteza hata akifa. Amejitoa mhanga.

Na hizi nchi zingine zinataka Kuishi na kufurahia maisha na kukuza Uchumi, kwa US kuingia vitani anaziweka katika hatari ya zenyewe kupata maafa na uharibifu mkubwa.
Na ukichukulia oia zina eneo dogo la ardhi.

Maana US hana uwezo wa kuwahakikishia 100% kua makombora ya Iran hayatazifikia na kuziharibu. Hizi nchi haziko tayari kuona hilo linatokea kwao. Utaona sasa US inapata presha ya kutoendelea na Kuleta Vita.

Lakini kama tutajaji balance kati ya hizi nchi mbili yaani USA na Iran; ukweli upo palepale, Kwa saizi ya Jeshi na Uwezo wa Silaha. US iko mbali sana. Haiko level moja na Iran.

Kwa mfano, Miaka ya 1990s Sadam Hussein alishambulia Israel na makombora ya Scud. Israel ilitumia makombora ya Patriot kudungua yale makombora ya scud ya sadam. Sadam alifanya uharibifu lakini haukua mkubwa sana. Na hii ilifanya US na washirika wake kuendele a kumpiga Saddam.

Lakini Kwa Iran yupo karibu zaidi na Miundombinu ya majirani zake na raia zao. Na Iran ni imara kuliko Iraq. Iran imehidi kuwawashia moto ikiwa itapigwa na US. Unaweza kuelewa kwanini USA amekwamishwa.


Mpaka hapa IRAN imetumia brutality threats ili kuzuia USA asiwashambulie. Baada ya kujaribu kutumia uweledi kwa njia ya Serikali ya Iraq kuwataka waamerika waondoke ikashindikana. Maana Trump alikataa.
 
Well presented////haya madini naomba unitupie kwenye inbox yangu ongezea na nyama mkuu //umenifungua sana kiakili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Haya maswala ni wazi huyajui unaongea tu labda kwa influence ya viroba.

You definitely don't know the concept of US forming a coalition with her allies to militarily confront the enemy.

Your knowledge of these matters is very parochial and is mostly governed by ignorance of the contemporary world politics, your mind is mostly preoccupied with "Udakus".
 
100%√
 
Ndoto za mchana hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…